Tecno p5 mpyaa kwa laki 1.3

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Habari wadau,
nina tecno p5 nimeshinda zawadi katika mchezo flani,nimepokea jana jioni
...kama mnahitaji naombeni laki na therathini tuuu..
nakuletea popote ulipo
0787 408180
 
Habari wadau,
nina tecno p5 nimeshinda zawadi katika mchezo flani,nimepokea jana jioni
...kama mnahitaji naombeni laki na therathini tuuu..
nakuletea popote ulipo
0787 408180
mkoa gani mkuu ...then punguza bei njoo pm
 
niletee mzigo tabata segerea kesho tufanye biashara nimekutumia sms kwa no.voda inaishia na 20
 
niletee mzigo tabata segerea kesho tufanye biashara nimekutumia sms kwa no.voda inaishia na 20

nimeona ujumbe wako mkuu, ila kama ukiwa tayari tuonane itakua vyema...
ningekuletea mpaka mlangoni kwako endapo unge accept my selling offer..ila nimekufanyia punguzo la 10k, inabidi nawe u feel the pinch
 
Back
Top Bottom