mkoa gani mkuu ...then punguza bei njoo pmHabari wadau,
nina tecno p5 nimeshinda zawadi katika mchezo flani,nimepokea jana jioni
...kama mnahitaji naombeni laki na therathini tuuu..
nakuletea popote ulipo
0787 408180
punguza bei sasa !!dar mkuu...twende poa
nakupunguzia wekundu,,aya nipe jiwe na ishirini
nakupunguzia wekundu,,aya nipe jiwe na ishirini
niletee mzigo tabata segerea kesho tufanye biashara nimekutumia sms kwa no.voda inaishia na 20