Technical help needed please

babe S

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
3,879
20,853
Hellos!
nahitaji msaada kwenye ipad ambayo imekua kama imelock na inadai password inaandika "Enter password for the CardDAV account "Yahoo" " ilianza kuleta hiyo message toka jana nikaachana nayo sasa leo imelock kabisa, Plz mwenye kuelewa jambo hili naomba help
natanguliza shukrani
 
kama inadai hiyo CardDAV password (ni email account ya yahoo) ina maana huwezi kuizima coz ukishikilia button ya power haikuruhusu inadai password, sio?? if so itabidi ureset your ipad kidogo kwa kupress and hold the Home and Sleep buttons simultaneously ignoring the red slider until the Apple logo appears. Let go of the buttons and let the iPad restart.
baada ya hapo ipad yako itakuwa imewaka fresh ila ukijaribu kufungua email, lile shida la mwanzoni litarudi,therefore, before you do anything else, go to Settings and tap Mail, Contacts, Calendars. Then delete your email account from there. unaweza add back ur yahoo email lakini uwe makini ukitumia your yahoo email adress especialy kama ina sync ur data as itakuwa inadai password kila ukigusa net
p.s, hakikisha umeback up vitu vyako vilivyopo kwa ipad yako kwa pc yako kabla hujareset as you stand to lose everything
regards, **leh
 
jinsi ya kubackup na kurestore

Select your ipad in iTunes under Deviceshow to backup
1. Connect your ipad to your computer with the latest version of iTunes installed
2. Select your ipad in iTunes under Devices
3. Right-click (or Control-click kama unatumia mac) the ipad and select Back Up

baada ya kuformat ipad na kufuta email, inabidi urudishie vitu vyako (restore)
1. once again connect ur ipad to your computer
2. Select your ipad in iTunes under Devices
3. Right-click (or Control-click) the ipad and choose Restore from Backup
 
kama inadai hiyo CardDAV password (ni email account ya yahoo) ina maana huwezi kuizima coz ukishikilia button ya power haikuruhusu inadai password, sio?? if so itabidi ureset your ipad kidogo kwa kupress and hold the Home and Sleep buttons simultaneously ignoring the red slider until the Apple logo appears. Let go of the buttons and let the iPad restart.
baada ya hapo ipad yako itakuwa imewaka fresh ila ukijaribu kufungua email, lile shida la mwanzoni litarudi,therefore, before you do anything else, go to Settings and tap Mail, Contacts, Calendars. Then delete your email account from there. unaweza add back ur yahoo email lakini uwe makini ukitumia your yahoo email adress especialy kama ina sync ur data as itakuwa inadai password kila ukigusa net
p.s, hakikisha umeback up vitu vyako vilivyopo kwa ipad yako kwa pc yako kabla hujareset as you stand to lose everything
regards, **leh
Asante sana umekua of great help! Imefanya kazi! Be blessed
 
  • Thanks
Reactions: leh
Asante sana umekua of great help! Imefanya kazi! Be blessed

namie nashukuru sana kwa kuniletea feedback na kwa maneno yako ya shukrani. it feels good kujua that not only have I helped, but that umeappreciate :). ipad ikikusumbua usiogope kuniPM, I'll be glad to help
 
Ah umenisaidia sana Nilikua nimejaribu hadi basi, nisingeappreciate ningekua na hila! Ok will do, thank u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom