TeamLowassa sasa rasmi CHADEMA! CCM tumewaachia wenye "Kitengo" wasiomtaka rais kutoka Kaskazini!

JK angekuwa Rais mzuri sana lakini aliruhusu mkewe na Rizone ndio waongoze na kufanya maamuzi makubwa ya taifa hili..sasa hapo ndipo atakapojifia na CCM yake...
 
Zile posho alizokua anatoa akijiandaa kutangaza nia ataendelea kuzitoa?? na je atazirudishaje??
 
JK angekuwa Rais mzuri sana lakini aliruhusu mkewe na Rizone ndio waongoze na kufanya maamuzi makubwa ya taifa hili..sasa hapo ndipo atakapojifia na CCM yake...

Miaka yote hii wenzetu hamkuona machungu ya CCM hadi mlipokilamba kisu?

Mkuu.

Mambo mengi yanayoendelea sasa ni mipango ya Mungu tu.

That define moment is now.

Sisi tumefanya maamuzi sahihi mmebaki nyie kufanya maamuzi magumu ya kuchukua makapi mafisadi..
 
Ni rahisi sana kutambua itikadi inayokiongoza chama au mtu.Chadema itadhihirisha kuwa si chama cha kuikomboa nchi km Lowassa na wafuasi wake wachumia tumbo watapewa nafasi chamani.Wapinga rushwa leo wanawapokea wapiga hela?
 
inawezekana lowasa ni kweli fisadi. tatizo kilichofanyika dodoma ili kumfuta lowasa hakikufuata kanuni na katiba ya ccm. hivo upitishwaji wa magufuli ni batili.
 
Ni rahisi sana kutambua itikadi inayokiongoza chama au mtu.Chadema itadhihirisha kuwa si chama cha kuikomboa nchi km Lowassa na wafuasi wake wachumia tumbo watapewa nafasi chamani.Wapinga rushwa leo wanawapokea wapiga hela?

mkuu kama watu wamekiri makosa yao hawapaswi kupokelewa?
 
Ama kweli CCM itabaki kuwa Chama pinzani kuanzia mwaka huu? CHADEMA chama Tawala.
Peoples Poweeeers
 
Kwendeni zenu mnasumbuliwa na ukanda

umeona move hiyo na wewe! nadhani sasa hali hii si nzuri kabisa unapoona nchi inakuwa na watu wanaoendekeza ukabila ni upungufu wa kufikiri na mawazo finyu japo mtu kamaliza madarasa.
 
Hivi mnamlazimisha huyo mzee kwenda mnakotaka? Kwa taarifa yenu huko hata kwa minyororo hawezi kuja!!
 
UKAWA watakua wasen*** wakimpokwa Lawasa, tumemnanga sana na tulimuweka kundi la mafisadi Leo hii tuna mpokea yaan hiyo ni silaha ambayo MACCM yataitumia kutu piga chin,
Faida pekee ni kwamba wambunge upinzan wataongezeka but kushika dola tusahau

Superb Words
 
Siasa siasa duh......nasubiri mapokezi na siku hiyo hiyo nitapumzika na ushabiki wa siasa za kitz,nyekundu ikiwa kwa adui bt ikija kwetu nyeupe,another silly season.
 
UKAWA watakua wasen*** wakimpokwa Lawasa, tumemnanga sana na tulimuweka kundi la mafisadi Leo hii tuna mpokea yaan hiyo ni silaha ambayo MACCM yataitumia kutu piga chin,
Faida pekee ni kwamba wambunge upinzan wataongezeka but kushika dola tusahau
Sikubaliani na matusi yako lakini mantiki iko sawa.
Wapinzani tuki,a matapishi nda mwisho wetu.
 
Back
Top Bottom