JK angekuwa Rais mzuri sana lakini aliruhusu mkewe na Rizone ndio waongoze na kufanya maamuzi makubwa ya taifa hili..sasa hapo ndipo atakapojifia na CCM yake...
Miaka yote hii wenzetu hamkuona machungu ya CCM hadi mlipokilamba kisu?
Mkuu.
Mambo mengi yanayoendelea sasa ni mipango ya Mungu tu.
That define moment is now.
Mizigo inaondoka teh teh teh teh teh ukombozi unaendelea kukirudisha chama kwa wenyewe!
Ni rahisi sana kutambua itikadi inayokiongoza chama au mtu.Chadema itadhihirisha kuwa si chama cha kuikomboa nchi km Lowassa na wafuasi wake wachumia tumbo watapewa nafasi chamani.Wapinga rushwa leo wanawapokea wapiga hela?
Karibuni. Tubuni na kuiamini chadema
Kwendeni zenu mnasumbuliwa na ukanda
Lowassa karibu ukawa. TUUNGANE . Ccm walishasema rais hatotoka kasikazini.
UKAWA watakua wasen*** wakimpokwa Lawasa, tumemnanga sana na tulimuweka kundi la mafisadi Leo hii tuna mpokea yaan hiyo ni silaha ambayo MACCM yataitumia kutu piga chin,
Faida pekee ni kwamba wambunge upinzan wataongezeka but kushika dola tusahau
Lowassa ni historia sasa.Hahahaaaa Mungu ni mwema sana sana. Muda ni msemakweli Daima. Asanteni na karibuni sana TEAMlowasa
Sikubaliani na matusi yako lakini mantiki iko sawa.UKAWA watakua wasen*** wakimpokwa Lawasa, tumemnanga sana na tulimuweka kundi la mafisadi Leo hii tuna mpokea yaan hiyo ni silaha ambayo MACCM yataitumia kutu piga chin,
Faida pekee ni kwamba wambunge upinzan wataongezeka but kushika dola tusahau