Teach the World - Lyrics (Lucky Dube)

Dube alikufa kwa bahati mbaya sana na kifo cha kizembe sana. Wrong place at wrong time.....

Brazil Romario yule mcheza mpira alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ni zaidi ya Pelle. Siku moja hawa vibaka wa magari na bastola zao wakamvamia ili wachukue gari na walipoangalia upande wa abiria wakamuona Pelle, wakamsalimia na kumwita "King, kumbe upo ndani? Nendeni...."

Wiki mbili baadaye wakamvamia tena Romario akiwa peke yake, gari ikaenda. Kwa hela za Lucky Dube, alikuwa hatakiwi kabisa kubishana nao ila kuwapa tu hilo KOPO na wakamuacha na uhai wake maana au angelipata au angenunua jingine maana alikuwa na hela nzuri tu. Ila kama siku zako zimefika....

Sasa hivi kuna wanae wanaimba ila wao siyo wana siasa. Kuna Nkulee Dube na Bongi Dube na hapa chini, binti Nkulee akiimba wimbo wa baba yake....
http://www.youtube.com/watch?v=H4-sGiIVn3Y&feature=related


Hahahahahahaha Mwalimu wangu hapa umenisimanga bure tu!
Ila nnachokupendea sio mchoyo wa elimu.

Hiyo stori ya hao majambazi niliwahi kuisikia ila hawa watu wangu wananiyumbisha kuwa jembe kama Dube lisingeweza kufa kwa kisa cha kimaandazi kama hicho.
So nkaja hapa kama kuna mtu ana "ukweli" zaidi ya huo anipe ya nyuma ya pazia kama yapo.

Ila ahsante sana Mwalimu wangu.
 
Dube alikufa kwa bahati mbaya sana na kifo cha kizembe sana. Wrong place at wrong time.....

Brazil Romario yule mcheza mpira alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ni zaidi ya Pelle. Siku moja hawa vibaka wa magari na bastola zao wakamvamia ili wachukue gari na walipoangalia upande wa abiria wakamuona Pelle, wakamsalimia na kumwita "King, kumbe upo ndani? Nendeni...."

Wiki mbili baadaye wakamvamia tena Romario akiwa peke yake, gari ikaenda. Kwa hela za Lucky Dube, alikuwa hatakiwi kabisa kubishana nao ila kuwapa tu hilo KOPO na wakamuacha na uhai wake maana au angelipata au angenunua jingine maana alikuwa na hela nzuri tu. Ila kama siku zako zimefika....

Sasa hivi kuna wanae wanaimba ila wao siyo wana siasa. Kuna Nkulee Dube na Bongi Dube na hapa chini, binti Nkulee akiimba wimbo wa baba yake....
Nkulee Dube - live rehersal in waipahu - YouTube


Sijikosea kukuita Mwalimu wangu kwenye music....
Siwezi kuweka neno juu ya maneno yako
 
Sasa unasema jukwaa la muziki ila hata hujui jinsi Lucky Dube alivyokufa? Nenda hata Wikipedia ukasome.

6ac279e3d250355dd149d08742d5599f_g.jpg


Majambazi yaliona hilo gari juu na wakata kulichukua. Ni Chrysler 300C alilokuwa akiendesha Lucky Dube alipopeleka watoto kwa ndugu yake. Walivyokuja kujua mwenyewe ni nani, walilia sana maana wao lengo lilikuwa gari na si mtu.

Polisi wakiwa kwenye gari yenyewe haswa sehemu na siku Lucky Dube aliuawa na wezi wa magari:
Lucky%2520Dube%27s%2520Car.jpg


Yaani jamaa wale walikuwa wapumbavu sana!!!!
Jaji alipowauliza yaani nyie mlikuwa hamkumfahamu Lucky dube!! jamaa wakasema eti walidhani mfanyabiashara wa Ki-Nijeria!!!!

Kwa kweli, ni aibu kwa Afrika ya kusini na Afrika nzima......kuja kupata tena mtu kama Lucky Dube siyo rahisi!!
Jamaa alikuwa icon.
 
Invsisible, hii CD Album nilipata mwaka juzi wakati wa Christmas pamoja na DVD yake ya LIVE CONCERT.

Kwa kweli ilinimaliza sana na huu ni wimbo mmoja niliupenda sana kwenye hiyo Album.

Hii Album nilianza kuisikia kwenye harusi ya jamaa mmoja ambapo wimbo wa ufunguzi wa harusi, walicheza wimbo wa kwenye hiyo Album ya SOUL TAKER, wimbo uitwao ROMEO and JULIET.

Kwa maada ilivyo hapa, naweka tu link : lucky dube - romeo - YouTube

Wimbo ambao huwa unanichekesha na baadaye kuniliza ni huu wa Lucky Dube wa Rasta Man's Prayer.





There comes a time
In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what.
We are coming to you father
With our sins and everything
To thank you

Those that smoke marijuana
Wanna thank you father
For making it grow internationally,
They wanna thank you lord
Even though police cut it down,
Sometimes they burn it down
But it grows again
Thank you father
[ Lyrics from: Lucky Dube - Rasta Man's Prayer Lyrics ]
Chorus
We wanna thank you father
For everything you've given us

Nations that oppress other nations
Wanna thank you father
Even though it's painful to be oppressed
But they thank you...
For making them strong

Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord


Repeat chorus till fade





Jamaa alikuwa anawananga wasiasa!!
Hii kweli imetulia!
 
Last edited by a moderator:
It takes a million people
To build up a good reputation
But it takes one stupid fool
To destroy everything they've done
The world knows your people as
The most violent in the world
The world knows your nation as
The most oppresive in the world
Take it upon yourself
To restore your nation's dignity

yo ho ho ho ho ho ho
it takes you to teach the world
that is why i gotta say
wherever you go....


Chorus:
Teach the world
Teach them right

It takes a million lives
To get the respect you deserve
When people see your kind
Some of them would run a mile
The world knows your people as
A nation of crooks
Everyone around you should
Always keep their eyes opened
The world knows your nation as
A nation of drug lords
Everyone blames your people
For the destruction of the world
Take it upon yourself
To restore your nation's dignity

ho ho ho ho ho ho
everwhere you go...


Chorus till fade

VIDEO:



Hii ina tugusa kabisa wa TZ Mwalimu nyerere alihangaika miaka mingi mno kuijenga nchi hii, akaja stupid fuu mmoja anaitwa Mwinyi! akaharibu kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Teach the world, the way it is, monster, tax man huwa sichoki kuzisikiliza zina lenga hasa yanayo endelea kwa nchi za kiafrika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom