Habari wanajf,
Jamani mimi kama mlezi wa ndugu yangu anayesoma chuo cha sayansi na tiba IMTU,nimejionea kwa macho yangu uozo na wizi unafanywa na mwekezaji wa kihindi kama viginard foundation??chuo hakina hadhi ya university?cha ajabu majengo ni ya NHC,wahadhiri ni wa kitanzania ukiacha wawili wa kihindi lakini ada iko juu 7.2M na ni kwa dollar.Naishukuru serikali kwa maamuzi yake magumu kidogo ila tunaomba taasisi ya vyuo vikuu nchini kuchua hatua madhubuti na kutekeleza wajibu wao kiuzalendo na zaidi naomba kujua kama NSSF wanalipwa mafao ya wafanyakazi dolla na NHC majengo yanalipiwa pia kwa dolla??