TCU nao ni wanasiasa? Sie tulidhani ni wasomi wasiodanganya!!!

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Ukiangalia kwa makini Tangazo lililotolewa na TCU kwa Umma wa Watanzania na kilichofanyika hadi leo utashangaa. Kwa nini wasitoe tangazo jingine kuwaomba radhi wananchi wa Tanzania? Hebu angalieni tangazo hili hapa chini


Public Announcement on Second round of Application for 2011/2012 Admissions
The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform the general public that the selection process under the first round of applications through the Central Admission System (CAS) has been completed and names of selected applicants will be released on 4[SUP]th[/SUP] August 2011.

kwenye hapo red kama ni kweli tatizo ni nini hasa? Acheni siasa, uongo, uongo, mnaufanya nyinyi alafu mnatarajia kuwafundisha ili wawe waadilifu? Mtatuzalishia watu kama Ngeleja, Jairo, n.k
 
HII kidogo inaleta utata, nani wa kumuamini kuwa akiahidi atafanya kweli? Hadi wasomi wanachakachua promise!!!
 
Hii si TANZANIA ni TAA INAYOZIMIA,nipo kwenye mchakato wa kuitafuta katiba nitafute kifungu cha adhabu kwa chombo cha serikali kama TCU kikitoa taarifa ya uongo kwa umma inakuaje? Mana huwezi kuandika kwa maandishi halafu uyapinge,ni bora basi wangeitisha kikao na waandish wa habari watangaze kuahirishwa lakini wamenyamaza. Mmh,yangu macho tuone tutakapo elekea na Taifa letu la viongozi wajasiria mali.
 
kweli michezo mingine inaboa sana, TCU wajue kabisa wanafanya utani pasitakiwa utani kufanyika.
 
kweli michezo mingine inaboa sana, TCU wajue kabisa wanafanya utani pasitakiwa utani kufanyika.
<br />
<br />

Utani? Wanamtania nani? Utani na kazi umeona wapi? Ngoja nikipata katiba nita Qute kifungu cha adhabu kwa kudanganya umma hapa kwene JF. Be ready,
 
Hawa jamaa wanaona sie watanzania akili hatuna bali wao ndo wenye akili. Watu tunataka kujua kama watoto wetu waende DIploma au la, wao kimya tu. Hawaoni aibu unapoandika neno Public Announcement alafu unadelay?
 
Au wanataka kusingizia mgomo wa vituo vya mafuta umesababisha watokeo yachelewe? Au mgao wa umeme? OGOPA MSOMI ANAYEDANGANYA, NI HATARI!
 
Kwani walioko TCU wako serikali inayøongozwa na nani?! Kama ni hii ya Muheshimiwa sana Vasco Dagama J.K,basi hakuna cha ajabu kwan siku zote ahadi zao ni kujaza kurasa za magazeti na kutangaza kuwa nao wapo!TZ HATUNA WASOMI WOTE WANASIASA TU! wasomi wa KWELI HAWAPEWI VITENGO WANAACHWA TU!
 
Kwani walioko TCU wako serikali inayøongozwa na nani?! Kama ni hii ya Muheshimiwa sana Vasco Dagama J.K,basi hakuna cha ajabu kwan siku zote ahadi zao ni kujaza kurasa za magazeti na kutangaza kuwa nao wapo!TZ HATUNA WASOMI WOTE WANASIASA TU! wasomi wa KWELI HAWAPEWI VITENGO WANAACHWA TU!
 
Nimeifungua webpage yao mda sio mrefu wametoa tangazo lingine tena na leo ingawa nalo halifunguki kiundani ni lini watu tutajua hatma yetu ya chuo. Anyway,ngoja tusubiri labda wao hawatumii gregorian calendar! Mungu ibariki Taa inayozimia
 
Back
Top Bottom