TCU mbona hakuna option ya kufanya changes ya course kwenye CAS kama mlivyosema?

leloson

Member
Aug 7, 2011
71
9
TCU wametutumia mesej kuwa kama una koz uliomba ukakuta hau-qualify unaweza kufanya mabadiliko. Chakushangaza hamna hiyo option ya kufanya mabadiliko au kuongeza program code, wadau kama kuna anayefaham anisaidie.
 
Hiyo option ipo sema hujaiona.
nenda katika SELECTED PROGRAMS then on right side ya kila program utaona icon ya REMOVE uki Click hapo utakua umetoa hiyo program na unaweka nyingine kwa Kuweka NEW CODE on LEFT side Ya hiyo Bar ulipo remove
 
zaidi ya ulivyoshauriwa hapo juu ni kuwa usisahau ku-save changes kabla hujatoka hapo. Lakini pia nakushauri kabla ya kufanya changes nakili mpangilio wa codes kufuatana na selection yako incase ukipata message ya kwamba ufanye entry upya. ni simple una log out na in na kuanza kujaza upya na kusave na utakuwa through na kusuburi eligibility. kwa uzoefu sasa hivi hawakawii utapata feedback ya marekebisho yako.

Ukikuta programs zote ni not eligible check Profile yako kuna uwezekano system haiku capture matokeo yako ya "A" level. hapo itabidi uwasiliane nao warekebishe hali hiyo ili system i revist eligibility yako.
 
Back
Top Bottom