ukitaka kujiunga hivyo ni wewe, ila vipo vifurushi vingi tu vizuri mitandao yote kuliko hiko.Sasa mkuu Mb 70 kwa shilingi 500 za nini?
Safi sana!watakuwa wametusaidia sana kama watatekeleza kweli maana ilishakuwa ni kero sana ....unasikiliza tangazo dakika 15 ndo simu inaanza kuita au unaambiwa haipatikani na muda mwingine unahamua kukata tu ata kabla haijaita.
simu za matangazo zina kera sana wahudumu wenyewe hawjui kuvunja barafu 'How to Break The ice'Ikibidi waruhusiwe msg moja tu ya matangazo kwa siku maana ni kero sasa. Pia wapigwe stop kutupigia simu za matangazo.
Mkuu kwenye bando sio siri wanatuibia sanaWamechelewa sana hawa jamaa!
Mtu unapiga simu dakika moja nzima unasikiliza matangazo halafu baadaye unaambiwa "namba ya mteja unayempigia hapatikani". Jinga kabisa!!!
Wasiishie hapo tu waangalie na vifurushi vya data, ni aibu kwa Ulimwengu huu Internet kuwa bado ni anasa. Na pia mtu akitaka kujiunga basi apewe chaguo kama anajiunga bando la internet ajiunge la internet, Kama anajiunga la sms ajiunge la SMS vivyo hivyo kama anajiunga la dakika basi ajiunge la dakika.
Na sio kupewa Dakika, SMS na Mb 3 (ujinga mtupu)
Mkuu habari kuna uzi nilianzisha kutaka msaada wako hukutokea anyway nina simu ya tecno c8 haisomi 3g nilipo ingawa simu zingine kama samsung etc zinasoma ila nikitoka hapa kwenda sehemu nyingine yaani mji mwingine inasoma shida ni nn natumia tgohuwa nahangaika kutafuta nchi yenye mobile data za bei rahisi kushinda Tanzania, nimetafuta almost dunia nzima nchi maarufu zote nimekosa, sisi tuna raha sana vifurushi bei rahisi na speed pia sasa kwenye 4G zipo vizuri.
We mzee una miaka mingapi?Tumechoka kusikiliza Miziki ya Kihuni
Ilikua kero unamtafuta mtu unaamblia matangazoSafi san, kama hawa tigo yaani ukipiga tu unasikia JAZA UJAZWE, aisee huwa nakasirika hadi basi!
Pole sana. Hii kuna mteja wetu pia ilikuwa inamtokea hasa hasa kama unatumia iphone. Solution, chukua iyo namba uiBLOCK hautapata tena izo sms.Mimi Tigo ndio huwa wananishangaza......yaani hata simu yangu iwe na salio la 10,000/= lakini kila dakika simu yangu inaingia sms inayoniambia salio lako halitoshi......yaani kwa siku moja naweza kufuata zaidi ya meseji hamsini za aina mpaka imekuwa kero kwangu.....
63We mzee una miaka mingapi?
Mbona La Kibiti mmesimama kwa Majambazi yaliyouwawa mnayatetea!Naona hili Tangazo limemgusa kila mmoja,
Hapa ndo watawala wajue sasa kumbe watu wanafurahia mambo mazuri yakitendeka,
Na sio habari za kulazimishana kumkubali mtukufu.
Pole sana. Hii kuna mteja wetu pia ilikuwa inamtokea hasa hasa kama unatumia iphone. Solution, chukua iyo namba uiBLOCK hautapata tena izo sms.