TCRA yaifungia Radio 5 miezi 3 pamoja na faini, Magic Fm yafunguliwa kwa masharti

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Maamuzi ya Kamati ya Maudhui juu ya Radio 5 Kukiuka Kanuni za Utangazaji:

Kituo kilivunja Kanuni za Maudhui kwa Kumkashifu Rais na Serikali na kuchochea na kuhamasisha uvunjifu wa amani, kupambana na Polisi.

Maamuzi:

1. Fine shilingi 5 million
2. Kufungiwa kwa miezi 3
3. Inawekwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.

Magic FM yafunguliwa

Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania imekifungulia rasmi kituo cha radio cha Magic Fm cha jijini Dar es salaam

Radio Magic fm ilifungiwa kwa muda usiojulikana na Waziri Nape Nauye Agosti 29, 2016 kwa tuhuma za kutangaza kipindi kinachodaiwa kukiuka sheria za utangazaji

Kwa mujibu wa David Ramadhan aliyekuwepo wakati wa kusoma maamuzi ya kamati ya maudhui ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, kamati hiyo imeitaka Radio Magic fm kutekeleza yafuatayo..
1)Kutoa onyo kali radio Magic Fm
2)Kuomba radhi kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, John Magufuli na wasikilizaji wake, hivyo inatakiwa kuomba radhi kwenye taarifa za habari na tangazo lipewe nafasi kubwa.

Maamuzi hayo yamesomwa na makamu Mwenyekiti wa kamati ya maudhui Joseph Mapunda.
14330114_10207031295247319_5639163691341745029_n.jpg
 
Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania imekifungulia rasmi kituo cha radio cha Magic Fm cha jijini Dar es salaam
1474015891936.jpg

Radio Magic fm ilifungiwa kwa muda usiojulikana na Waziri Nape Nauye Agosti 29, 2016 kwa tuhuma za kutangaza kipindi kinachodaiwa kukiuka sheria za utangazaji

Kwa mujibu wa David Ramadhan aliyekuwepo wakati wa kusoma maamuzi ya kamati ya maudhui ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, kamati hiyo imeitaka Radio Magic fm kutekeleza yafuatayo..
1)Kutoa ovyo kali radio magic fm
2)Kuomba radhi kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, John Magufuli na wasikilizaji wake, hivyo inatakiwa kuomba radhi kwenye taarifa za habari na tangazo lipewe nafasi kubwa.

Maamuzi hayo yamesomwa na makamu Mwenyekiti wa kamati ya maudhui Joseph Mapunda.

Chanzo:Channel Ten
 
Maamuzi ya Kamati ya Maudhui juu ya Radio 5 Kukiuka Kanuni za Utangazaji:
Kituo kilivunja Kanuni za Maudhui kwa Kumkashifu Rais na Serikali na kuchochea na kuhamasisha uvunjifu wa amani, kupambana na Polisi. Kanuni za Maudhui zimekuwa.

Maamuzi:
1. Fine shs 5 million
2. Kufungiwa kwa miezi 3
3. Inawekwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.
Vipi mkuu na magic nao hukumu yao lini!!
 
Waziri Mkurupuko je? Alisema hakuna muda maalum utadhani ni uhaini! Kweli awamu hii ni misifa tu kwa bwana mfalme
Maamuzi ya Kamati ya Maudhui juu ya Radio 5 Kukiuka Kanuni za Utangazaji:

Kituo kilivunja Kanuni za Maudhui kwa Kumkashifu Rais na Serikali na kuchochea na kuhamasisha uvunjifu wa amani, kupambana na Polisi.

Maamuzi:

1. Fine shilingi 5 million
2. Kufungiwa kwa miezi 3
3. Inawekwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.

View attachment 401366
 
I don't think there's one thing I've ever said on the radio that would have been found indecent or obscene.
 
Maamuzi ya Kamati ya Maudhui juu ya Radio 5 Kukiuka Kanuni za Utangazaji:
Kituo kilivunja Kanuni za Maudhui kwa Kumkashifu Rais na Serikali na kuchochea na kuhamasisha uvunjifu wa amani, kupambana na Polisi. Kanuni za Maudhui zimekuwa.

Maamuzi:
1. Fine shs 5 million
2. Kufungiwa kwa miezi 3
3. Inawekwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.
 
Kwa Mod yeyote aliyeunganisha hizi thread amekurupuka.

Thread 1: TCRA yatoa maamuzi kuhusu radio 5 yafungiwa miezi 3 na faini ya milioni 5
Thread 2: TCRA imekifungulia rasmi kituo cha Radio cha Magic FM

Thread namba 2 imekuwa merged kwenye hiyo namba moja na heading imeendelea kubaki ile ya namba 1.

Nilitegemea kila thread ijitegemee au kama zitaunganishwa basi heading iwe inazungumzia habari zote 2.

JamiiForums, Mod, Mod 2, Mod 4, Invisible, Paw, Moderator et al

Updates: Asanteni mods kwa kufanya mabadiliko ya kichwa cha habari, ila mpunguze kukurupuka.
 
Maamuzi ya Kamati ya Maudhui juu ya Radio 5 Kukiuka Kanuni za Utangazaji:
Kituo kilivunja Kanuni za Maudhui kwa Kumkashifu Rais na Serikali na kuchochea na kuhamasisha uvunjifu wa amani, kupambana na Polisi. Kanuni za Maudhui zimekuwa.

Maamuzi:
1. Fine shs 5 million
2. Kufungiwa kwa miezi 3
3. Inawekwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.

Ulitegemea Tawi la CCM lisemeje?
 
Back
Top Bottom