Elections 2010 TBC1 waonyesha picha za wakimbizi kunani?

cha kusikitisha ni jinsi TBC walivyoshitiwa kuhusu mdahalo... halafu haohao wanaburuzwa kutangaza mkwere anachotaka
 


Nicolae Ceauşescu flees Bucharest by helicopter on 22 December 1989

= = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = =
 
Watu tulikua tunaonyeshwa cinema za waathirika wa ukimwi na magonjwa ya zinaa ili tubadili tabia,,lakini cinema ikiisha unaopoa demu na unaondoka nae.

Siku izi NGOs za ukimwi hazionyeshi zile cinema tena, kwani wanajua HATUDANGANYIKI.
 
Dawa yao ni wakimaliza kuonyesha tu, wananchi inabidi waambiwe kwenye mikutano maan ya hizo documentary!!

Naona vitisho vimeanza!!!
 
Watafanya kila mbinu kuhakikisha wanatangaza hali ya hatari ila wapinzani wao kimyaa, wanasubiri jumapili na kulinda kura. Kama wanataka waanze kupigana wao kwa wao kwenye mikutano yao ili kujenga mazingira ya kuvuruga uchaguzi. Wakivuruga uchaguzi wajue hawajafanya kitu ni kama vile kuahirisha kula tu mwisho wa siku itakubidi ama ule ama usubiri kufa kwa njaa.

Wametumia mbinu zote wanazozijua ila wapi. Ninakubaliana na Manumba kuwa wamechanganyikiwa na uchaguzi mpaka kufikia kupiga wakuu wa vituo vya polisi. 2010 ain't 1995. The will face the velocity of people's power in polling stations they've ever seen in their history of ruling. Njia pekee ni kukubali kuwa demokrasia hawaiwezi hivyo wachague udictator. Ninaamini hawalali kwa mawazo ni kama mtu aliyehukumiwa kifo akisubiri utekelezaji wa hukumu hiyo kwa woga mkubwa, nayo ni jumapili.

Wametudharau vya kutosha, wametupuuza vya kutosha sasa zamu yao wao kuona kuwa watanzania si mabwege tena, jumapili ni ama kuiingiza Tanzania kwenye utawala wa kidictator au kuwa the best African country in democracy after Ghana.
 
Leo imeonyesha TBC huko congo hakuna mizengwe!, Generali Ulimwengu alionyesha yaliyojiri kule Zenji kwenye channel ten, wakamwita sio raia. waache wacongo na congo yao, sisi tunataka changes, miaka nenda rudi upuuzi ni uleule kama nchi ya kifalme. sasa wameanza kuwaanda watoto wao kwa nguvu zoote!!.
Titakuja toana roho mchana mchana hapa jamaniii!!

mie ntampandia mtu uko uko juu nimtoe uharo aisee!! wanationa sisi hatina akii!! shenz type.
 
hata wakiweka filamu ya ESCAPE FROM SOBIBOR...moto ni ule ule... Halafu nimesikia pande za Iringa huko daladala zote zilizowekewa bendera ya sisiemu zimepewa "ofa" ya kutokamatwa na Traffic mpaka uchaguzi uishe!! sijui imekaaje hii...atakaepata taarifa zaidi embu atumwagie hapa!!

Moshi hali ni mbaya zaidi, wamachinga sasa wanatandaza vitu vyao kila mahali bila kuguswa na halmashauri, Parking sasa kila mtu anajipakia gari lake anavyotaka. Uchafu watu wanajitupia tu bila kukamatwa. Ni vurugu tu.
 
Wanajamvi leo TBC wamekuwa wakionyesha sana documentary ya wakimbizi wa Congo waliopo hapa kwenye kambi zetu za hapa nchini. Nimeona documentary saa sita mchana na saa tisa alasiri. Je ni zile mbinu za 1995 za Mkapa kuwatisha watanzainia waogope kuchagua upinzani??:confused2:

Hata wakionesha kizazi kipya na tuliokwenda JKT hatutishiki!
 
CCM inatumia vyombo vya dola kuchelewesha mabadiliko tunayoyahitaji. Hawawezi kuzuia mabadiliko
 
Unfortunately tuna chini ya silimia kumi ya watu wenye kuona TV kutokana na umaskini uliokithiri

Hata hao BBC wanaanza kunikoroga. Wanaelekea kushabikia chama fulani. Let them be neutral otherwise they will harvest what they plant. Same applies to viongozi uchwara wa dini. Same applies kwa wanaotaka kujibu hoja kwa nguvu, mbona hawawaangalii wananchi machoni? Wanaongea wameinama kama wachawi. Kina Shehe Y. wako wapi?

TIME WILL TELL
 
Ni dalili tosha ya kutapatapa....wakimaliza hizo documentary wawaeleze kuwa sababu za hizo vita., nyingi ni viongozi waliko madarakani kugawa keki ya taifa kwa kikundi kidogo na kuwaacha wapiga kura wao wakipiga mihayo..
 
Moshi hali ni mbaya zaidi, wamachinga sasa wanatandaza vitu vyao kila mahali bila kuguswa na halmashauri, Parking sasa kila mtu anajipakia gari lake anavyotaka. Uchafu watu wanajitupia tu bila kukamatwa. Ni vurugu tu.

Huu ni upuuzi wanawahadaa ili wawapigie kura..!
Mabailiko makini hayana unafiki kama huu...ni wakati wa wamachinga na watu wote kuwaambia via sanduku la kura hapo jumapili kuwa HATUDANGANYIKI,,
 
jumamosi jioni waonyeshe yale mapinduzi ya kule Romania ya wananchi kumngoa nani yule aliengangania madaraka,ndo zinafaa documentary za hivyo this tyme!
 
Back
Top Bottom