saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali
Baada ya kumalizika kujibiwa Swali hilo la Mpina bila wananchi kuona majibu yake muda mfupi baadae TBC ikarejea tena live Bungeni kurusha hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Swali la Msingi lilikuwa linauliza
Je ni kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi Trilioni 360 na Dola za Marekani Milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa