Elections 2010 TBC waumbuka...

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
kwanza taarifa waliyotumiwa ikagoma kufunguka,wakajaribu kuisubiria ikakataa kufungua,wakaamua kuiruka hiyo taarifa iliyokuwa inahusu kampeni za jk,hadi kipindi cha habari za michezo kimeisha wakaamua kuirudi na bado ikagoma kufunguka wakaamua kuweka matangazo na at last ikakubali,kweli anguko la jk lipo wazi hadi tv zinagoma kuonyesha mikutano yake?cha ajabu wameonyesha juu juu habari ya slaa akiwa kibaha na dar,tbc,u cant stop this wave of change
 
Nashangaa komedi wanawacheka ITV eti kumradhi, wakati wao ndo hali mbaya sana.
 
Wanajisumbua bureeeeeeeeeee wananchi wanajua maeneo gani watapata habari
 
kwanza taarifa waliyotumiwa ikagoma kufunguka,wakajaribu kuisubiria ikakataa kufungua,wakaamua kuiruka hiyo taarifa iliyokuwa inahusu kampeni za jk,hadi kipindi cha habari za michezo kimeisha wakaamua kuirudi na bado ikagoma kufunguka wakaamua kuweka matangazo na at last ikakubali,kweli anguko la jk lipo wazi hadi tv zinagoma kuonyesha mikutano yake?cha ajabu wameonyesha juu juu habari ya slaa akiwa kibaha na dar,tbc,u cant stop this wave of change
Ahahahahahahaaaaaah hadi habari za JK zinagoma, kwa kweli hali ni mbaya.
 
nimefurahishwa na itv walivyomwonyesha maranndo na umati wa watu,hiv hao tbc wanaficha nini?
 
Tbc wanafurahisha sana, hasa pale wanapojaribu kuukwepa umati wa watu wanapotangaza habari za sLAA. NAOMBA KUWASHAURI WAACHANE TU NA HABARI ZA SLAA. Zitawatesa sana,
 
kwanza taarifa waliyotumiwa ikagoma kufunguka,wakajaribu kuisubiria ikakataa kufungua,wakaamua kuiruka hiyo taarifa iliyokuwa inahusu kampeni za jk,hadi kipindi cha habari za michezo kimeisha wakaamua kuirudi na bado ikagoma kufunguka wakaamua kuweka matangazo na at last ikakubali,kweli anguko la jk lipo wazi hadi tv zinagoma kuonyesha mikutano yake?cha ajabu wameonyesha juu juu habari ya slaa akiwa kibaha na dar,tbc,u cant stop this wave of change

Bravo !!!
 
Kupitia ITV nimeona nyomi ya watu iliyokusanyika kumsikiliza dr slaa hapo dar kweli mabadiliko yanakuja na hakuana wa kuyazuia....
 
Wadau wa maedeleo, better tusiisikilize TBC, tuwe tunaangalia ITV, make leo wameonesha nyomi hiyo!!!!!!!!!
MAFISADI ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Nyie vijana wa siku hizi bwana Nyomi ndio watu wengi siyo? Ok..Kuhusu TBC aka TB and Cancer na taarifa yao iliyojichakachua ili mapenzi ya Mungu yatimie hicho Tunaita Kifo CHA NYANI MITI YOTE HUTELEZA
 
ahaaaaaaaa kwikwikwi tehetehe uuuuwi sina mbavu,kweli jeykey hakubaliki kama malaria
 
Wataikoma nguv ya umma. Tukumbuke TBC ndio walikata matangazo ya ufunguzi wa kampeni za CHADEMA, ili kunusuru CCM na mafisadi wake wasiumbuliwe. Sasa nguvu ya Mungu na ya umma inafanya hata TBC1 - inagoma! TBC wajue wanaendeshwa na kodi na jasho la umma wa watanzania ambayo ndiyo inawasaliti kwa woga na kuelekezwa na mafisadi? TBC mjue kuwa Taifa hili na watu wake watakuwepo na vizazi vyao hata uchaguzi ukipita, ila dhambi yenu na usaliti vitabaki ktk historia na nchi na ndani ya mioyo na akili za watanzania na vizazi vijavyo. TIDO MHANDO anatakiwa abadilike, awe ktk standard, ukweli na matakwa ya umma wa taifa hili na sio kikundi cha watu wachache wanaolindwa na mfisadi.
 
TIDO anajua kibarua chake kitaota nyasi baada ya 31st oct so lazima ajikombe kwa JK ili asije kuwamo ktk kundi la wasaliti
 
I heard the voice of uknown man in the wildness shouting"slaa for the changes,tell my people"
 
Back
Top Bottom