TBC na Ushindi wa Nassari Joshua

Ndio kauli wanayositiza sana Tbc mida hii badala ya kusema watu washerekee
 
Unategemea kauli gani kutoka kwa TBCCM?

Kwanza kwa jinsi walivyoifanya chadema, me naona wasiwe wanafiki sasa kumtangaza mshindi kwa kuwa walishamkataa na kuacha kutangaza habari zake wakifikiri wao ni tv ya biashara kumbe inaendeshwa kwa kodi zetu.

Shame on you TB-CCM
 
katika hali ya kushangaza katika kampeni za chaguzi ndogo zilizomalizika jana tbc kituo cha umma kilionyesha upendeleo wa wazi kwa chama tawala na kuvibagua vyama vya upinzani. Lakini mungu ni mkuu chadema imepata covarage ya kutosha hapa jamii forum na vituo vta tv binafsi then sasa tunashangilia ushindi. Peopless power
*********************mimi nimeacha kuangalia tbc je wewe*************
 
kwa aibu kubwa wametanagza CDM kuibuka na ushindi huku Sioi akionekana kwa mbali haamini kilichotokea mtu mzima mimacho imemtoka machozi yanamlengalenga!, hahahahaaa, loh!
 
Unafiki wa Tbc kipindi cha kampeni umewadhalilisha na wamejipatia aibu ya kutupa kwani walionyesha upendeleo wa kutosha halafu hapa Arumeru wanamng'ang'ania eti wamhoji baada ya kutangazwa aibu yao aibu ya Tbc

Wanafiki, aibu zao hao CCM radio/TV. Asikubali wamhoji wahuni hao
 
aibu zingine TBC wanazitafuta tu !!

Mtu ambaye walikuwa hawampi kipao mbele ndiye mshindi sasa watu wanajiuliza huyu ndiye nani tena mbona hatukufahamishwa habari zake mapema ??
?
 
Namuona mtu mzima Marinyi kama kamwagiwa maji vile...hili ni somo kwa wafanyakazi wote wa tbc lazima wabadilike na wafanye kazi zao kwa kutenda haki...hili ni shirika la utangazaji la Umma na sio la magamba na pia linaendeshwa kutokana na kodi za Watanzania wote bila kujali chama,kama hawajajifunza wenyewe waendeleze tu mahaba yao na magamba siku inakuja na wala haiko mbali.
 
katika hali ya kushangaza katika kampeni za chaguzi ndogo zilizomalizika jana tbc kituo cha umma kilionyesha upendeleo wa wazi kwa chama tawala na kuvibagua vyama vya upinzani. Lakini mungu ni mkuu chadema imepata covarage ya kutosha hapa jamii forum na vituo vta tv binafsi then sasa tunashangilia ushindi. Peopless power
*********************mimi nimeacha kuangalia tbc je wewe*************

TBCCM mim siangalii tena
 
Kwanza TBCni kituo kinaonesha vzr sana mambo yake but tatizo lipo kwa viongozi hawajui namna ya kukaa kijamii zaidi na wafanyakazi wake wote mambo yao ya kizee ndo maana hata watu wengi hawapendi kuangalia kuangalia siku hizi wanaboa sana bora alivokuwepo Tido aliweza kuwashawishi watu wakaipenda TBC binafsi nawashauri wabadirike ili wakubarike katika Jamii !
 
Back
Top Bottom