yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Taifa la wajingaMahojiano yanaendelea kati Spika wa bunge na mkurugenzi wa TBC.
Swali !
Ilikuwaje ukawa mwanasiasa
Spika :Ni swali ngumu ila katika maisha yangu sijawahi kuwaza kuwa nitakuwa mwanasiasa ila baadaye nilipoanza kusikia hotuba za baba wa taifa nikaanza kuvutiwa
"Huko tunakoelekea ni vizuri tukawa na vyama sindani siyo upinzani unaopinga kila kitu hamna kizuri "
Unaridhishwa na nidhamu ya baadhi ya wabunge ?
Spika : "Tunatumia kanuni ila kuna wale ambao wanapinga tu hata kanuni hizo wanapinga pia"
Je baadhi ya maneno ambayo hayana maadili yanaozungumzwa na wabunge ndo yamechangia Bunge isiwe live ?
Spika : Ni kweli kwa asilimia kubwa hiyo ndo sababu maana kuna baadhi ya wabunge mnakubaliana kitu lakini wakijua wanaangaliwa na wananchi na wakiwa mbele ya camera wanawehuka ,wengi hata huwaambia wananchi leo naongea mniangalie
Utatuaji wa kero nyingi kwa awamu hii imefanya vyama shindani kudhoofika ,je hii vyama shindani kudoofika ni nzuri kwa demokrasia ?
Spika: Ni vizuri wangekuwa wanafanya vitu vinavyoonekana siyo kuponda tu,unaponda ndege zilizonunuliwa kesho unaonekana airport ukipanda ndege hizo hizo.