TBC Mubashara: Spika Ndugai asema huko tunakoelekea ni vizuri tukawa na vyama shindani siyo upinzani unaopinga kila kitu hamna kizuri

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,233
Mahojiano yanaendelea kati Spika wa bunge na mkurugenzi wa TBC.

Swali !
Ilikuwaje ukawa mwanasiasa

Spika :Ni swali ngumu ila katika maisha yangu sijawahi kuwaza kuwa nitakuwa mwanasiasa ila baadaye nilipoanza kusikia hotuba za baba wa taifa nikaanza kuvutiwa

"Huko tunakoelekea ni vizuri tukawa na vyama shindani siyo upinzani unaopinga kila kitu hamna kizuri "

Unaridhishwa na nidhamu ya baadhi ya wabunge ?

Spika : "Tunatumia kanuni ila kuna wale ambao wanapinga tu hata kanuni hizo wanapinga pia"

Je, baadhi ya maneno ambayo hayana maadili yanaozungumzwa na wabunge ndo yamechangia Bunge isiwe live ?

Spika : Ni kweli kwa asilimia kubwa hiyo ndo sababu maana kuna baadhi ya wabunge mnakubaliana kitu lakini wakijua wanaangaliwa na wananchi na wakiwa mbele ya camera wanawehuka ,wengi hata huwaambia wananchi leo naongea mniangalie

Utatuaji wa kero nyingi kwa awamu hii imefanya vyama shindani kudhoofika ,je hii vyama shindani kudoofika ni nzuri kwa demokrasia ?

Spika: Ni vizuri wangekuwa wanafanya vitu vinavyoonekana siyo kuponda tu,unaponda ndege zilizonunuliwa kesho unaonekana airport ukipanda ndege hizo hizo.
 
Watu wa kongwa wamemchoka hawamtaki wanataka mbunge mpya....mwenyekiti anamkingia kifua ili nayeye aje kukingiwa kifua

Ndugai anaonekana ni mtu wa kujikomba na asiye na msimamo, kiti cha uspika kwa maoni yangu kimempwaya, anashindwa hata na Mama Anna Makinda.

Amelifanya Bunge kuwa a government rubber stamp, na imekuwa shida kutofautisha kati ya Serikali na Bunge.
 
Mahojiano yanaendelea kati Spika wa bunge na mkurugenzi wa TBC.

Swali !
Ilikuwaje ukawa mwanasiasa

Spika :Ni swali ngumu ila katika maisha yangu sijawahi kuwaza kuwa nitakuwa mwanasiasa ila baadaye nilipoanza kusikia hotuba za baba wa taifa nikaanza kuvutiwa

"Huko tunakoelekea ni vizuri tukawa na vyama sindani siyo upinzani unaopinga kila kitu hamna kizuri "

Unaridhishwa na nidhamu ya baadhi ya wabunge ?

Spika : "Tunatumia kanuni ila kuna wale ambao wanapinga tu hata kanuni hizo wanapinga pia"

Je baadhi ya maneno ambayo hayana maadili yanaozungumzwa na wabunge ndo yamechangia Bunge isiwe live ?

Spika : Ni kweli kwa asilimia kubwa hiyo ndo sababu maana kuna baadhi ya wabunge mnakubaliana kitu lakini wakijua wanaangaliwa na wananchi na wakiwa mbele ya camera wanawehuka ,wengi hata huwaambia wananchi leo naongea mniangalie
Ni jambo jema
 
Ipo siku tu
Mkuu hana ukatili wowote bali ni bendera fuata upepo, saa hii anamuiga Magufuli ili na yeye aonekane mkali. Kikubwa alichonacho ni jazba za kijinga. Ndio maana mengi ya mambo anayoiga, anaonekana bonge la juha.
 
Mahojiano yanaendelea kati Spika wa bunge na mkurugenzi wa TBC.

Swali !
Ilikuwaje ukawa mwanasiasa

Spika :Ni swali ngumu ila katika maisha yangu sijawahi kuwaza kuwa nitakuwa mwanasiasa ila baadaye nilipoanza kusikia hotuba za baba wa taifa nikaanza kuvutiwa

"Huko tunakoelekea ni vizuri tukawa na vyama sindani siyo upinzani unaopinga kila kitu hamna kizuri "

Unaridhishwa na nidhamu ya baadhi ya wabunge ?

Spika : "Tunatumia kanuni ila kuna wale ambao wanapinga tu hata kanuni hizo wanapinga pia"

Je baadhi ya maneno ambayo hayana maadili yanaozungumzwa na wabunge ndo yamechangia Bunge isiwe live ?

Spika : Ni kweli kwa asilimia kubwa hiyo ndo sababu maana kuna baadhi ya wabunge mnakubaliana kitu lakini wakijua wanaangaliwa na wananchi na wakiwa mbele ya camera wanawehuka ,wengi hata huwaambia wananchi leo naongea mniangalie

Utatuaji wa kero nyingi kwa awamu hii imefanya vyama shindani kudhoofika ,je hii vyama shindani kudoofika ni nzuri kwa demokrasia ?

Spika: Ni vizuri wangekuwa wanafanya vitu vinavyoonekana siyo kuponda tu,unaponda ndege zilizonunuliwa kesho unaonekana airport ukipanda ndege hizo hizo.
Hana jipya huyo
 
Ndugai anajibu kama mchunga Mbuzi tu. Majibu yake hayaakisi uzito wa kiti alichokalia...
 
Back
Top Bottom