Tbc itv kutoonyesha mpira wa morocco vs taifa stars

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Wapenzi wa michezo
muda si mrefu niilikuwa na chat nikaona swali zuri
nikachukua jukumu la kumuuliza ndugu yetu mmoja wa tbc
akanihakikishia swala la live alitakuwepo ila anasikia itv wanajaribu kuomba ajapata uhakika..so far nikageuka itv..wao wamepeleka request kweli ila bado mng wanajadili swala la kuonyesha ..kwa wapenzi wa michezo nafikiri tuwasiliane ijumaa kupata ukweli w itv..else tukakate tu tkt
 
Sina wasiwasi maana nilikwishafanya booking ya bus kwa ajili ya safari ya kuja Dar kununua tiketi ya kuingilia mpirani,kwenye Tv nitacheki marudio ili kujiridhisha. Soka bwana ni kitu ingine kabisa...!!
 
...Ushamba ule ule wa kutotaka kuonyesha mpira live ili watu wajae kiwanjani! Wengine nao wangeamua hivi sijui kama tungekuwa tunaziona Chelsea na Arsenal tukiwa tumekaa sebuleni kwetu!! Warushe mpira live na waache ushamba wao! Wa kwenda kiwanjani wataenda tu.
 
Woote mmenena ya kweli ila mimi ushauri wangu kwa TFF,tafadhari wapange mechi kuchezwa tarehe 10/10/10 kwani siku hiyo ndio haswa yenye bahati kwa watanzania.Mechi ikichezwa tarehe 10/10/10 tutawashinda waarabu kiurahisi sana lakini ikichezwa tarehe 9/10/10 hatutakuwa na ushindi zaidi ya sare ambayo bado haitatusaidia kitu.(Haya maneno amenitumia Dr.Bruno Munufu aliyepo safarini uarabuni).
 
woote mmenena ya kweli ila mimi ushauri wangu kwa tff,tafadhari wapange mechi kuchezwa tarehe 10/10/10 kwani siku hiyo ndio haswa yenye bahati kwa watanzania.mechi ikichezwa tarehe 10/10/10 tutawashinda waarabu kiurahisi sana lakini ikichezwa tarehe 9/10/10 hatutakuwa na ushindi zaidi ya sare ambayo bado haitatusaidia kitu.(haya maneno amenitumia dr.bruno munufu aliyepo safarini uarabuni).

kaka kama ulinena dat day is ma bday na wenye kunijua wanajua bahati zangu so jaribun kumsikiliza huyu kijana jaman mtaona matunda yake
 
Back
Top Bottom