TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

Mzee ya upako anazungumza juu ya upumbavu wa tb joshua...anasema tb joshua ni mburukenge.....anatabir Uongo na hakuna lolote litakalotokea....ANAFANANISHA UTABIRI WAKE Na kutabiri mvua wakati wa masika........source.,chanel ten sasa hivi

daaah et kutabiri mvua wakati wa masika huyu mzee kavurugwa kitambo
 
Siji kwenda club....,kwenye urais mi siyo rais,kwahiyo nina kitu kimoja tu cha kujiepusha nacho,na YEYE aepuke kimoja abaki na kimoja,ila vyote vinamlenga.
 
Back
Top Bottom