Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Acheni kuwadanganya watu ili waangalie chanell zenu
Uongo Upo Wapi?
Cbeki Hii
1c69fa4e6a6f961978d4319f83783186.jpg
 
Huyu Nae! Asa Mbona Afadhali Ya Mimi. Kwenye Video Sijaelekeza ki-download Mjomba
Mkuu kitendo kinachofanyika hapo, ni inasave ile video kwa kuidownload kwenye simu yako, kisha utaweza kuiplay kupitia simu yako na kutokuhitaji internet "data" lakini bila kuwa na internet au "kuwasha data" hichi kitendo hakiwezi kufanyika ndo maana kwenye steps zako umesema step ya kwanza ni "kuwasha data" pia angalia screenshot ulioweka hapo juu, ukisoma vizuri inaelezea hichi ndo kitendo kinachofanyika.
 
Nashindwa Kuelewa Kipande Cha Dkk 2-3 Ki-dowlodiwe kwa Sekunde 3-5
 
Nashindwa Kuelewa Kipande Cha Dkk 2-3 Ki-dowlodiwe kwa Sekunde 3-5
Mkuu hii inategemeana na speed ya internet yako, kwa mfano kipande cha dk 3 labda kina mb 1, na kama internet yako iko vzuri kitadownload hiki kpande kwa sekunde kadhaa, Haimanishi kwa kuwa kipande ni cha dakika 3 ndo lazima ichukue dakika 3 kudownload.
 
Hahaha wabilahi taufiki walai haufiki mwisho bila mb wacha urongo kuwarongosha wana jf
 
Mkuu hii inategemeana na speed ya internet yako, kwa mfano kipande cha dk 3 labda kina mb 1, na kama internet yako iko vzuri kitadownload hiki kpande kwa sekunde kadhaa, Haimanishi kwa kuwa kipande ni cha dakika 3 ndo lazima ichukue dakika 3 kudownload.
Ok, Nimekusoma Mkuu
 
Inaliwa Ndani Ya Sekunde?
Ndo maana yake, unaaona kale kamstari keupe kanakotembea chini ya video? Pale ndo video inaload kwenye background kwa kutumia data, by the time umeenda kuzima video ishashushwa yote. Youtube Go imetengenezwa kwa ajili ya nchi kama zetu ili kupunguza matumizi ya data kwa kuweka video kwenye low quality(smaller size) na kukuwezesha kuchagua size/quality unayotaka kwa urahisi zaidi.

Fikiria from first principle tu, video (bits/bytes) zitahama vipi kutoka server za Google/Youtube na kufika kwenye simu yako bila ya kutumia data?
 
Ningekuwa Nahitaji Views Sidhani Kama Ningeweza Bayana Namna inavyofanya Kazi.

Kisha Hii App ni ya YouTube Wenyewe, Cheki Walivyosema Hapo
693fb6b9de2fc571e298136abb66a4a2.jpg
Mbona hiyo screeshot ipo wazi kabisa kwamba lazma utumie MB labda kilicho kuchanganya wewe hapo ni hiyo no internet connection
Na ukasahau neno download lilijitokeza mara tatu so data lazma uwashe na MB utatumia sema ni kidogo ukifwatilia sababu ya kuanzishwa kwa hiyo app ya youtube go utaelewa tu
IMG-20171205-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom