Tazama upotoshaji wa wazungu juu ya afrika na waafrika!

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,

Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya wazungu. Huu ni upotoshaji mkubwa.Kama unazifahahamufilamu nyingine kama hizi tupia hapa!
 
Wazungu ni watu Kama wewe.eshasema movie,acha ubaguzi .
 
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,

Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya wazungu. Huu ni upotoshaji mkubwa.Kama unazifahahamufilamu nyingine kama hizi tupia hapa!

Cry free town sio movie ni documentary inaonesha mauaji halisi waliokuwa wakifanya waasi wa Sierra Leone na aliyekuwa akichukua video ni mwandishi wa habari wa Kiafrika.
Blooad Diamond inaonyesha jinsi wazungu wanavyotugawia siraha ili tuuane waibe madini ukweli mtupu.
War of the worlds same thing ukweli mtupu.
 
ununuzi wa rada ya tz nayo ni movie kali ambayo wazungu wanasaidia kurudisha change:becky:
 
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,

Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya wazungu. Huu ni upotoshaji mkubwa.Kama unazifahahamufilamu nyingine kama hizi tupia hapa!

cry free town sio movie , bali ni documentary ya kweli ,

ki msingi movie zote izo , ikiweno na hotel rwanda, sometimes in april zina onyesa ukweli , VITA NI VITA, na ukatili ule umefanyika kweli , wanawake kubakwa, kukatana mapanga na mambo kama hayo
 
documentary ya mapanki,le couchemar de Darwin.Hii ni ukweli mtupu ingawa JK alienda kuwapa pole Mwanza kwa kuchafuliwa ili hali ni kweli kuwa wanakula mapanki
 
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,

Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya wazungu. Huu ni upotoshaji mkubwa.Kama unazifahahamufilamu nyingine kama hizi tupia hapa!

Mkuu kwa hali tuliyonayo Waafrika kwa sasa hatuwezi kuishi bila Wazungu, huo ndio ukweli, Mugabe kajitahidi kukukuruka huku na kule na mwisho wa siku kaangukia kwenye US dollar, anampinga marekani na Uingereza lakini nchi nzima inatumia dollar ya Mmarekani
 
na za Kanumba the Great zinatufundisha nini... ?

Mkuu nadhani umechagua movies ambazo hazi-support argument yako..

Cry Freedom based on apartheid na real life ya Steve Biko

Blood Diamonds.., jinsi almasi zinavyopatikana through wars and killing (plot inaelezea yaliyotokea Sierra Leone) hadi kuwahusisha watoto wadogo kupigana

Tears of the Sun...; its just Americans try to act and depict that they are stronger than everyone else.., same kama British waki-act wataonyesha ubabe wao au mbongo; its just patriotism.., na sidhani kama wangeuza sana kwao kama wangeonyesha wanapokea kichapo kwenye hii movie

Nadhani you might have an argument but you have chosen wrong examples
 
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,

Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya wazungu. Huu ni upotoshaji mkubwa.Kama unazifahahamufilamu nyingine kama hizi tupia hapa!

I understand your concerns, but how do you explain kikwete's (and his likes) decisions? If anything the kikwetes of this continent reinforce that belief!
 
umeawahi kuziona hizo movies? au wajisemea tu? we wadhani wao wanakuona wewe kama unavyojiona?

Wakwe zangu wananitetemekea .my husband is worth 50 million dollars na baba mkwe wangu crazy rich.wazazi wangu mafisadi .hawanibabaishi hata kunde.gari langu liligongwa mzazi wangu alikuja the next day na alininunulia zero mileage Lexus chezea mtoto wa tycoon .CCM oyeeeee
 
documentary ya mapanki,le couchemar de Darwin.Hii ni ukweli mtupu ingawa JK alienda kuwapa pole Mwanza kwa kuchafuliwa ili hali ni kweli kuwa wanakula mapanki

inaitwa darwin nightmare: hiyo nayo ni filamu ya uongo:
kuna hotel Rwanda; Sometimes in April
 
Thread ya kibaguzi.
Okay, vipi John the Mad dog? Kuna mzungu mule? Wanaongea ukweli.. na katika hali ya kawaida sisi weusi hatuwezi kujiendesha shabaaaaaash....
 
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,

Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya wazungu. Huu ni upotoshaji mkubwa.Kama unazifahahamufilamu nyingine kama hizi tupia hapa!

we Blood Diamonds unaijua vizuri? Kaitazame tena. Hizo zingine sijaziona
 
Ukipata nafasi kaitazame "CONVICTUS" pia
labda itakufanya uweke msawazo wa yako mawazo!
 
Okey na mimi naongeza kuna muvi inaitwa Attack on Darfur nayo inataka kufanana na hizo ulizozitaja. Jinsi Janjaweed wanavyoua raia huku askari wa AU wanaangalia, mpaka wanakuja waandishi wa habari wa US Watamuokoa mtoto mchanga mmoja. So sad
 
Back
Top Bottom