Tatua tatizo la uume mdogo

Nashkuru sana kwa kunisaidia kumjibu ndugu yetu. Asante sana mkuu.

Cc cc12
sikua na maana kwamba ni wew kuna mtu juu anaongea kama masai huyo ni mwizi nimefika mpk Monduli kwa wazee wa kitabibu hakuna dawa ya kimasai ya kukukuza dushe ila za kuongeza nguvu na kufanya dushe liwe na hasir ipo sana na tena unakunywa na asal kbs
 
Thanks mkuu.

Nimekuelewa vyema vyema kiongozi.

Karibu Sana.
 
Ni swali zuri kiongozi wapo ambao nilishawajibu hili.

Well, kwa niaba ya wengine ni kwamba jinsi ya kuchanganya mafuta na hiyo Hartiti unachanganya kwa kukadiria/kuangalia kwa macho tu. Nikiwa na maana kuwa uchanganye mpaka utakapopata mchanganyiko ulio na uzito kama mafuta mazito ila isiwe kama mafuta mgando iwe kama na uzito flani hivi.

In short naweza kusema uifanye iwe kama paste hivi. Nadhani ntakuwa nimeeleweka uzuri. Shukran.

Karibu Sana.

Umeeleweka ustaadh.
 
Salaam/Shalom.

Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).

Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.

Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.

Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.

Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.

Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.

Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.

- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...

Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.

- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.

- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.

Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.

Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia. Karibuni Sana.

AHSANTE.
samahani mkuu, bado sijakupata vizuri. hii dawa inatibu tatizo la UDOGO tu au hata UREFU? je, baada ya hizo siku ulizotaja uume utakuwa umerefuka au kuwa mnene kwa kiasi gani?
 
Mkuu, umesoma maelezo yote yaliyopo kwenye mada husika kiongozi...?.

Mbona imeelezwa vya kutosha ndani ya mada husika mkuu...?.
mkuu, hivi vifaa vingine ni rahisi kuvipata...je hii HARTITI nitaipata wapi au inanunulika wapi?
 
Samahani mkuu, kuna rafiki yangu yuko Afrika Kusini aliwahi kunishirikisha kuwa anakumbwa na tatizo hili la kuwa na uume mdogo. Sasa nimeona bandiko lako nikaona ni fursa ya kumuelekeza aweze kutatua tatizo lake.

Lakini yeye hafahamu lugha ya kiswahili, hivyo nataka nimpe maelekezo kwa lugha ya kiingereza. Unaweza kunisaidia jina la kiingereza la hartiti ili nitakapomueleza iwe rahisi kwake?
 
Thanks mkuu.

Nimekuelewa vyema vyema kiongozi.

Karibu Sana.
Al-Ustadh

Shebbydo haujajibu swali lake

Anauliza matatizo hayo yana sababishwa na mambo mbalimbali wengine kutokana na pombe wengine wamezaliwa hivyo na kutoka kana na kuwa vyanzo vya tatizo ni tafauti wapo ambao tatizo lao linakuwa Irreviseble je wote wana dozi inayofanana au ibakuwaje hapo Al-ustadh
 
samahani mkuu, bado sijakupata vizuri. hii dawa inatibu tatizo la UDOGO tu au hata UREFU? je, baada ya hizo siku ulizotaja uume utakuwa umerefuka au kuwa mnene kwa kiasi gani?

Sijakupata unaposema linatibu tatizo la urefu unamaanisha nini mkuu...?.

Well, kurefuka kwa uume yategemea na uume ulionao sasa mkuu.

Karibu Sana.
 
mkuu, hivi vifaa vingine ni rahisi kuvipata...je hii HARTITI nitaipata wapi au inanunulika wapi?

Jina la hartiti ndio jina lililozoeleka sana mkuu kama ni vipi ni bora umnunulie kisha umtumie.

Karibu Sana.
 
Al-Ustadh

Shebbydo haujajibu swali lake

Anauliza matatizo hayo yana sababishwa na mambo mbalimbali wengine kutokana na pombe wengine wamezaliwa hivyo na kutoka kana na kuwa vyanzo vya tatizo ni tafauti wapo ambao tatizo lao linakuwa Irreviseble je wote wana dozi inayofanana au ibakuwaje hapo Al-ustadh

Well, tiba yoyote inapotumika huangaliwa maendeleo ya mgonjwa husika hata malaria iko hivyo kama mtu hajapona anaweza akapigwa hata drip mkuu, hivyo yategemea matibabu yameleta matokeo gani kutokana na tatizo la mtu husika kama ulivyosema hapo juu.

Kwa dozi ya kufanana inategemea, wengine yaweza kufanana na wengine wanaweza wakahitaji tiba nyingine, dawa zipo mkuu.

Karibu Sana mkuu.
 
Ni swali zuri kiongozi wapo ambao nilishawajibu hili.

Well, kwa niaba ya wengine ni kwamba jinsi ya kuchanganya mafuta na hiyo Hartiti unachanganya kwa kukadiria/kuangalia kwa macho tu. Nikiwa na maana kuwa uchanganye mpaka utakapopata mchanganyiko ulio na uzito kama mafuta mazito ila isiwe kama mafuta mgando iwe kama na uzito flani hivi.

In short naweza kusema uifanye iwe kama paste hivi. Nadhani ntakuwa nimeeleweka uzuri. Shukran.

Karibu Sana.
na huo changanyo na hayo mafuta ni mchanganyo utakaoutumia kila siku kwa hizo siku 21? ama na kesho t
yake itabidi uchanganye mchanganyiko mwingine.
 
Naamini Mungu alimpa kila mtu kiasi chake,unaweza'sononeka kwamba una uume mdogo ila still ni mkubwa na tosha na bora mno kwa mwanamke utakaempata,wengine hadi wanakimbia anakaa siku anakutafuta mwenyewe wala sio kwamba unamuhonga hapana,amekukubali kwa shughuli yako.my point is...kijana usijihisi una maumbile madogo hali hii itakuvunja moyo upate matatizo mengine bure,jikubali jinsi ulivyo muhimu kula vizuri,mazoezi kidogo ndiyo maisha ni magumu ila tupunguze stress hakuna saa tutaacha kuwaza nikuyakubali tu maisha ili uweze kuzilinda nguvu zako zisitetereke.@allustadh umesahau kuwaambia kaka kwamba ni vizuri wakiowa maana uzinzi sio mzuri hata kidogo.
Point
 
Salaam/Shalom.

Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).

Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.

Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.

Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.

Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.

Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.

Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.

- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...

Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.

- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.

- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.

Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.

Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia. Karibuni Sana.

AHSANTE.
 
Salaam/Shalom.

Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).

Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.

Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.

Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.

Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.

Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.

Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.

- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...

Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.

- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.

- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.

Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.

Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia. Karibuni Sana.

AHSANTE.
je hakuna madhara baada miaka kadhaa mbeleni?!! 2.hiyo dawa inarefusha kwa urefu kiasi gani!!.ama kma ya punda. 3.vp kuhusu uwezo wa kusimamisha vzr hautaathirika?!!.4.je unaweza kutupa evidence kdg kwa watu walioitumia?????
 
Back
Top Bottom