Tatizo samsung galax S 111

Naka boy

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
321
110
Sim yangu ya samsung galax S 3, GT-18190 hai conect kabisa na internet nimejaribu kila lain lakin hakuna mafanikio msaada tafadhali...!!
 
Sim yangu ya samsung galax S 3, GT-18190 hai conect kabisa na internet nimejaribu kila lain lakin hakuna mafanikio msaada tafadhali...!!

smart4n mwanzon huwa zinaleta utata kuunganisha net had uwe mtundu kidogo,uwenda ukawa VPN hujaset au data roaming so try more au mtafute mtu mwenye utundu kidogo ataweka mambo sawa ukishindwa peleka duka lolote wanao uza sim au kwenye ofis za mitandao watakusaidia
 
Mkuu Nakay Boy njoo ujibu hoja ya Mkuu Central ili tupate pa kuanzia maana hizi smarthphone wakati mwingine ujuzi nazo wa kutosha hatuna lakini ufumbuzi utapatikana.
 
Jaribu kuangalia access point ya internet kama zipo km hmna weka access point km n line ya tigo au ya mtandao wowote unaoutumia
 
Sim yangu ya samsung galax S 3, GT-18190 hai conect kabisa na internet nimejaribu kila lain lakin hakuna mafanikio msaada tafadhali...!!

nenda kwenye access point names. kwenye proxy weka NOT SET
 
Back
Top Bottom