kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,327
- 521
Wanajamvi heshima sana kwenu!
Nina simu aina ya Nokia E5 yenye keypad zenye kiarabu na kawaida. Kila nikijaribu kucheza video kwenye YouTube inanipa ujumbe huu; "connection to server needed".
Lakini nikifuatilia huo ujumbe hatimaye unaniambia kile nilichokuwa nafuatilia tayari kimehifadhiwa kwenye gallery.
Lakini nikijaribu tena video inaniambia vilevile kama mwanzo.
Naomba msaada kwenu kwani huduma hiyo naipenda.