Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

mwekundu, damu haitoki bali nahisi kama ganzi fulani kisha tumbo huuma sana.
Na hali hiyo hudumu kwa siku nzima.
Mpenzi pole sana,kama huwa linauma siku nzima kuna hatari ya wewe kuchukia kujamiana!pole sana maana tunda la katikati utalisikia kwenye bomba!wenzio tunaendelea kujamiana kwa raha zetu!
 
Mpenzi pole sana,kama huwa linauma siku nzima kuna hatari ya wewe kuchukia kujamiana!pole sana maana tunda la katikati utalisikia kwenye bomba! Wenzio tunaendelea kujamiana kwa raha zetu!

Asante mpenzi. Duh! Nahisi nikiacha kujamiiana, nitakonda.
 
Mh!
Hapana mkuu.
Zina rangi ya kawaida kama manii ya mwanaume yanavyotakiwa yawe.

Fanyeni experiment hii ambayo kimada wangu UDOM aliifanya na alipona tatizo kama lako:

Mwambie mmeo aingie chumvini kwa muda mrefu hadi labda upate bao la kwanza kwa njia hiyo;Lengo liwe ww upate extremely wet ili jamaa atereze tu!

Then fanyeni sex na jibu mtuletee hapa!
 
Yani mkuu Malafyale, nimefanya kila jaribio, mpaka kunywa Diclofenac then ndo niingie msambweni, lakini wapi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom