Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 402
- 167
walimu
wakiwa wanaelekea kwenye mgomo, kamwe hawatafanikiwa lazima wengine
wasaliti kuendelea kufundisha, hii yote inatokana umaskini walionao
kuanzia familia mpaka ukoo. Mwalimu hana ujasri wa kugoma, kutokana na
hali yake duni. Asilimia kubwa ya hawana mbele wala nyuma yaani msingi
wa maisha yao ni mbovu. Hali hii imesababisha wakimu waanze kupigana
mkwara kuwa ambao hawatogoma watawadhibu hata kwa kipigo mfano mkoa wa
kigoma. Mgomo ulipita nikiwa mpwapwa secondari mwl mmoja aliwahi sema
hawezi goma kwani hana anachoidai serikali kama mshahara unaridhika nao
kutokana na uwezo wa serikali ya tanzania. Ndio maana serikali haina
presha yoyote inajua ni upepo tu. Pole walimu kwa hali ngumu ya maisha.