babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,112
- 16,016
samahani bandugu mlioko nyumbani maana naona sasa mko kimya ni vipi nuru imerudi hapo nyumbani?i mean umeme vipi mgao umekwisha?nahitaji tu kujua maana niliahirisha kasafari cha kuteremka ili nisikutane na kero za hicho kiza,tujulishane ili tugongane huko soon