Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme

Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco

Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha

Sasa wameenda na Zimbabwe.

Kwa uzoefu wangu wa Tanzania, nchi hii ina tatizo moja serious sana nalo ni kutokuwa na userious kwenye kupanga na kutekeleza mipango madhubuti badala yake tumekuwa watu wa siasa na funika kombe mwanaharamu apite.

Ndo mana kila siku nchi hii tumekuwa tukiishia kuwa wapiga maneno tu huku wenzetu wakiwa wanatuzidi kila siku.

Nimewahi sema humu na leo nasema tena, matatizo ya Umeme na Maji nchi hii ni kwa sababu hatuko serious kwenye mipango madhubuti inayoangalia kesho ila badala yake tumekuwa tukiwaza vyeo, ulaji na siasa tu.

Kwa namna mabadiliko ya tabia nchi yalivyo ni ujuha uliotukuka kutegemea maji kama chanzo cha Umeme na ndo mana ukitokea ukame tu tunarudi kwenye mgao.

Sio hivyo tu. Hata kwenye maji ni ujuha uliotukuka kwa sasa tunategemea mito ambayo kiuhalisia nayo itapungua maji kipindi cha ukame.

Nimalize kwa kusema. Kama hatujabadilika na kuamua kubadilika na kuwekeza nguvu na akili nyingi katika kupanga na kutekeleza mipango madhubuti ili tutoke hapa, kila siku tutaishia kuwa wapiga kelele na siasa na tutazidi kuwa nyuma hadi kihama.
 
Lengo la mgao, ni kwamba kila mtu anunue Jenereta mzigo ni mwingi mno store, vinginevyo mgao had Feb 2024.
 
Kwahiyo unaunga mkono HOJA ya kupitia madarakani ccmmm sababu imefail ktk Kila kitu?
 
CHAWA wa January Makamba acha kuchanganyikiwa!!! Uchawa ndio umetufikisha hapa na siyo vinginevyo!!
Unajitoa ufahamu baada ya January na Maharage kupotezwa!

Chawa mchafu wewe
 
Nchi yetu ni nchi ya porojo. Haikuanza leo.
Vijiji vya Ujamaa
Fagio la chuma
Kilimo kwanza
Nguvu mpya, ari mpya, kasi mpya.
Hapa kazi tu.
Kazi iendelee.
Tusubiri slogan ya awamu ya saba.
 
Wanataaluma waliiweka hospitali ya Mloganzila university teaching hospital wanasiasa wakaikabizi Muhimbili hovyo kabisa
 
Lakini hao jamaa hawakuwahi kuzungumzia maji toka hii kadhia ianze July huko.

Mara zote wanajificha kwenye kichaka cha service na kuingiza umeme kwenye gridi ya taifa.
 
Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme

Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco

Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha

Sasa wameenda na Zimbabwe.

Kwa uzoefu wangu wa Tanzania, nchi hii ina tatizo moja serious sana nalo ni kutokuwa na userious kwenye kupanga na kutekeleza mipango madhubuti badala yake tumekuwa watu wa siasa na funika kombe mwanaharamu apite.

Ndo mana kila siku nchi hii tumekuwa tukiishia kuwa wapiga maneno tu huku wenzetu wakiwa wanatuzidi kila siku.

Nimewahi sema humu na leo nasema tena, matatizo ya Umeme na Maji nchi hii ni kwa sababu hatuko serious kwenye mipango madhubuti inayoangalia kesho ila badala yake tumekuwa tukiwaza vyeo, ulaji na siasa tu.

Kwa namna mabadiliko ya tabia nchi yalivyo ni ujuha uliotukuka kutegemea maji kama chanzo cha Umeme na ndo mana ukitokea ukame tu tunarudi kwenye mgao.

Sio hivyo tu. Hata kwenye maji ni ujuha uliotukuka kwa sasa tunategemea mito ambayo kiuhalisia nayo itapungua maji kipindi cha ukame.

Nimalize kwa kusema. Kama hatujabadilika na kuamua kubadilika na kuwekeza nguvu na akili nyingi katika kupanga na kutekeleza mipango madhubuti ili tutoke hapa, kila siku tutaishia kuwa wapiga kelele na siasa na tutazidi kuwa nyuma hadi kihama.
NB: Tatizo ni mfumo uliopo! Over
 
Kabisa, tatizo la ajabu la nchi hii ni kwamba wasomi na wenye weledi wameawaachia wapiga debe na wajinga kuwa viongozi wa nchi hii. Nafikiri huu ni uchawi wa aina yake na kazi kubwa inahitajika kutoka hapa.
 
Bila kununua menejiment nje ya kutusimamia kama walivyofanya waarabu tutadanganyana.
Sisi siasa imeharibu mambo
 
Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme

Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco

Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha

Sasa wameenda na Zimbabwe.

Kwa uzoefu wangu wa Tanzania, nchi hii ina tatizo moja serious sana nalo ni kutokuwa na userious kwenye kupanga na kutekeleza mipango madhubuti badala yake tumekuwa watu wa siasa na funika kombe mwanaharamu apite.

Ndo mana kila siku nchi hii tumekuwa tukiishia kuwa wapiga maneno tu huku wenzetu wakiwa wanatuzidi kila siku.

Nimewahi sema humu na leo nasema tena, matatizo ya Umeme na Maji nchi hii ni kwa sababu hatuko serious kwenye mipango madhubuti inayoangalia kesho ila badala yake tumekuwa tukiwaza vyeo, ulaji na siasa tu.

Kwa namna mabadiliko ya tabia nchi yalivyo ni ujuha uliotukuka kutegemea maji kama chanzo cha Umeme na ndo mana ukitokea ukame tu tunarudi kwenye mgao.

Sio hivyo tu. Hata kwenye maji ni ujuha uliotukuka kwa sasa tunategemea mito ambayo kiuhalisia nayo itapungua maji kipindi cha ukame.

Nimalize kwa kusema. Kama hatujabadilika na kuamua kubadilika na kuwekeza nguvu na akili nyingi katika kupanga na kutekeleza mipango madhubuti ili tutoke hapa, kila siku tutaishia kuwa wapiga kelele na siasa na tutazidi kuwa nyuma hadi kihama.
Tatizo la nchi hii Kwa Sasa ni nyie Machawa mnaowasapoti viongozi wabinafsi na kuwatetea kitendo ambacho kinawapa nguvu za kuendelea kutafuna fedha za Umma bila kukemewa.
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari kupelekea Nishati,kuvunja bodi iliyokuwepo kuweka maswahiba wake na maharage kuwa mkurugenzi Tanesco wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
 
Lini Tanzania imekuwa na umeme wa uhakika? Kabla hata ya huyo January Umeme ulikuwa ukikatika
 
Ndio mnavyojifariji eeeh.....hata mama abdul kaona wamevurunda ndio man a kawatoa wangekuwa wanafanya maajabu na umeme upo kama walivyojifanya wana mipango madhubuti na kupewa hela juu wasingetolewa....sasa wameliingiza Taifa kwenye giza totoro kuwahi kutokea tangu uhuru tena wanapaswa kuchunguzwa walikuwa wanafanya nini mpaka wameharibu kiasi hiki
 
Back
Top Bottom