Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 494
Kila mara simu yangu inaleta notification ya kuonesha haina free space na ikizingatiwa ina sijaweka vitu vya kuielemea, na ina internal ya 64GB.
Tatizo ni nini?
Tatizo ni nini?
Tunalima mpunga,Ngoja tuwasubiri wataalamu wa IT waliosomeshwa na Serikali kwa gharama kubwa waje tuona km kweli walielimika ama laaa!
Wako bize na Mei mosi....Ngoja tuwasubiri wataalamu wa IT waliosomeshwa na Serikali kwa gharama kubwa waje tuona km kweli walielimika ama laaa!
Wewe jamaa kama upo kwenye Storage ya jamaa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣PUNGUZA VIDEO ZA PORN WEWE SIMU IMEZIDIWA
Na hawataki kulipa deni la mkopo.Ngoja tuwasubiri wataalamu wa IT waliosomeshwa na Serikali kwa gharama kubwa waje tuona km kweli walielimika ama laaa!
Ataje Aina Ya Simu64Gb internal!!?
Tuelekeze hiyo cached data inapopatikanaCached data huwa unafuta??