Tatizo la rangi kubanduka

abel frank

Senior Member
Apr 11, 2013
157
68
.

IMG-20210403-WA0004.jpg
 
Tatizo

1. Rangi ya kwanza haikutengeneza bond nzuri na rangi ya finish
2. Mafundi hawakuwa makini katika kupaka na kukagua ubora wa rangi
3. Ukuta haukuandaliwa vizuri kwa ajili ya kupiga rangi.
Jinsi ya kutatua
1. Kulingana na eneo lako tafuta fundi bora atakae kupa muongozo wa kupiga rangi ngap kabla ya finish
2. Chagua rangi bora rahisi kutumia na ambayo haija expire ..
 
Back
Top Bottom