Tatizo la PXE-E61: Media test failure, check cable

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Laptop nikiwasha hayo ndio majibu yake.
ni nini tatizo na ni nini ufumbuzi wake?
Realtek PCIe GBE Family Controller Series v2.59 (01/13/14)
PXE-E61: Media test failure, check cable
PXE-M0F: Exiting PXE ROM
no bootable device--insert boot disk and press any key.
Msaada wadau
 
harddisk imekaa vibaya so fungua computer yko uangalie na uifunge tena.na km tatzo likiendelea so ujue harddisk inaelekea kuwa marehem soon.
 
nimeifungua laptop nimeiweka
hard disk vzr lakini tatizo lipo
pale pale. Kwa hiyo hard disk kuna
uwezekano imeshakufa?
harddisk imekaa vibaya so fungua computer yko uangalie na uifunge tena.na km tatzo likiendelea so ujue harddisk inaelekea kuwa marehem soon.
 
Mashamba kiwangwa bagaomoyo yanauzwa kwa bei nafuu mazur kwa kilimo cha nanasi na mahindi wasiliana na mimi 0757-091-397
 
nimeifungua laptop nimeiweka
hard disk vzr lakini tatizo lipo
pale pale. Kwa hiyo hard disk kuna
uwezekano imeshakufa?

tafuta hdd nyingine uweke utest km itakubali,na hyo hdd yko ifunge kwenye pc nyingine uone km itarespond.the urejeshe mrejesho
 
ahsante mkuu
ntajaribu kutafuta HDD
nyingine kwa ajili ya Test
then ntaleta mrejesho
tafuta hdd nyingine uweke utest km itakubali,na hyo hdd yko ifunge kwenye pc nyingine uone km itarespond.the urejeshe mrejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom