Tatizo la network kwenye Sumsung galaxy S3 naomba msaada

Blcng

Member
Oct 14, 2014
28
2
Nina simu yang Sumsung galaxy S3 nikiweka line network haipand ila inaonekana cm inasoma lin kuw ni tigo, tatzo ni network hukuchiz ya screen inaniandikia invalid IMEI-tigo Naomben msaada wenu.
 
Umenunua bei gani hiyo? kweli ni samsung galaxy S3 au feki yake? kama ni fake yake uliwahi kuiformat au ku restore factory settings??
 
Kama inaitwa sumsung kama ulivyoandika hiyo ni feki hakika.
 
kaka tatizo la invalid imei huwa linazikumba sana simu ambazo ni copies....

1. Angalia nyuma ya simu yako(eneo linalofunikwa na betri) na uziandike pembeni IMEI namba zilizoandikwa hapo.
2. Ingia hapa (Downloading: MTK65xx-imei.apk - Uploadingit download hii app na uinstall ktk simu yako then run hyo app na kujaza IMEi namba ulizozikopi pembeni na then save na kuirestart simu
 
Acha mawazo mgando atawezaje kudownload ikiwa simu yake haina network wala hayupo karibu na wifi yako

kwaiyo naww ndo uelewa wako umeishia hapo katika kumuelewa jamaa. .anavosema adownload hyo app si anamaana atafute sim nyingne na adownload hyo apk na kisha akainstall kweny hyo simu yeny tatzo. mbna jamaa point yke inaonekana. .au ulitaka aanze kusema maneno meng. .ww kam unaakili timamu tayar unajua chakufanya hapo.
 
Nina simu yang Sumsung galaxy S3 nikiweka line network haipand ila inaonekana cm inasoma lin kuw ni tigo, tatzo ni network hukuchiz ya screen inaniandikia invalid IMEI-tigo Naomben msaada wenu.

tafuta app inaitwa mtk engeneer tool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom