Tatizo la kupenda wake za watu!

Kuchukua mke wa mtu afu ukagundulika hata ukisamehewa nafsi itakushitaki mpaka kufa. Hata huyo mke kama akisamehewa kama ana akili nzuri nafsi itaamuuma pia mapaka atapokufa. Epuka kupenda mke/mme wa mtu.
 
usisahau kuja kutuhadithia siku na wewe utakapoliwa, maan ukumbuke kuwa muosha naye.........
 
Hata kidogo sio masihara, hata mimi nafurahi nikikutana na mke wa mtu ni wazoefu, wanajua ku-handle mwanaume anapokuwa kwenye 18 na anapofikia climax vilevile wanatunza siri sana
mmmmhhh humu kumbe mko wengi? Haya bana kwa raha zenu,just prepare enough rope to hang yourself.
 
Binafsi napenda sana wake za watu ila naogopa kukamatwa na wenye mali.,
Ninapokuwa na binti ambaye hajaolewa huwa sipati mzuka kabisa!
Nifanyeje?..

Acheni kukwepa majukumu vijana....fanyeni kazi kwa bidii na maarifa....msitegemee wake za watu wawaweke mjini.....
 
Hatari sana..kuna mabinti wamejaa tena single na wengine ni wale bachelor sugu ameshachakachuliwa sana hao ni kama mke wa mtu tu ila wao huna atakaekubana mana ukiwahi ni wako tafta hao ila mke wa mtu ni sumu hakika..usijaribu mana kuna magonjwa na pia lazima mtadakwa tu..
 
Back
Top Bottom