Gurta
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 2,234
- 531
habari,
nami pia ni victim wahiyo maneno. Ila nimegundua tangu 2009, natumia dawa, nafanya mazoezi hasa ya kutembea mwendo mrefu kwa angalau saa moja nzima kwenda na kurudi,pia najitahidi kufuata masharti ya chakula. Pia nakunywa mafuta ya ubuyu daily kijiko kimoja kikubwa cha chakula.
Kazi ni kwetu.
Asante kwa ku-share Bichau, naomba kusaidiwa hapo kwenye mafuta ya ubuyu. Yanasaidia nini? Je, wewe ni Type I au II.
Mimi kwa muda wote ambao mgonjwa nimejaribu kutumia alternative medications nyingi sana hata idadi sina (Chinese, Korean, kienyeji concoctions etc.), hadi imefika pahala nimeamua kuwa nitachoma insulin tu unless otherwise. Kama ningeweza kujua hayo mafuta yanasaidia kitu gani ingekuwa poa sana as I am running out of sites to inject.
Last edited by a moderator: