environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Wana bodi,
Nimekipitia kitambulisho cha taifa kwa haraka haraka na kubaini kuna TATIZO, naweza kuwa wrong. Ni wazo zuri kuwa na kitambulisho cha taifa lakini tukitengeneze kwa umakini. Kuna sehemu ya kitambulisho inasema " CITIZEN IDENTITY CARD".
Maswali
1. Je, kuwa na kitambulisho hiki ni alama ya uTanzania? ni uthibitisho kuwa ni mTanzania? Na kama ni citizenship identity,kwa nini kuwe na expiration date? Kwani Uraia unaexpire? Au cheti cha kuzariwa kina expiration date?
2. Masharti ya upatikanaji wa kitambulisho hiki ni yapi? Kama kitakua kinamtambulisha Raia wa Tanzania. Je unahita cheti cha kuzaliwa, passport au kithibitisho chochote ili upate kitambulisho hiki
Mwisho,
Nashauli serikali itoe hilo neno "CITIZEN IDENTITY CARD", tuwe na namna nyingine ya kumtambua mTanzani. Nashauri iwe " KITAMBULISHO CHA TAIFA" au "KITAMBULISHO CHA TANZANIA" kwa mantiki kuwa ni kitambulisho cha Taifa la Tanzania lakini haki signify CITIZENSHIP.
Pia matumizi ya lugha ya kigeni, nivizuri, lakini tuwe waangarifu. Mfano penye jina la kati imeandikwa hivi: MAJINA YA KATI/MIDDLE NAME. Nazani hapa inabidi tuzingatie singular and plural nouns.
Na kwa kuongeza, inaonyesha hakuna issued date/ tarehe ya kutolewa! Hii kweli zimamoto
Ni wazo tu
View attachment 82394