Tathmini Arumeru mashariki yaibeba CHADEMA.

CHADEMA-59% CCM-41% *VIGEZO ULINGANIFU VILIVYOTUMIKA(Comparison criteria) @UPEPO wa kisiasa(Chadema 64%,CCM36%) @Uwezo wa WAGOMBEA(Chadema 64%, CCM36%) @Mafanikio ktk KAMPENI(Chadema65%,CCM35%) @MTAJI wa wapigakura(Chadema37%, CCM63%) @Nguvu ya WAPIGA DEBE(Chadema63%, CCM37%) @Vyombo vya HABARI(Chadema52%, CCM48%) @Makundi JAMII(Chadema60%, CCM40%) @SERA mvuto(Chadema63%, CCM37%) @HAMASA za kampeni(Chadema65%, CCM35%) @MAANDALIZI ya uchaguzi(Chadema60%, CCM40%) *SOURCE: Wachambuzi na wadadisi wa mambo ya kisiasa,kwa msaada wa tathmini za vikao vya ndani kutoka vyama vyote viwili mpaka kufikia tarehe 28/3/2012.

Hapa "MTAJI wa wapigakura(Chadema37%, CCM63%)" huoni kuwa CCM wameshinda? Kama tathmini yako inauhalisia basi mimi nimeshajikatia tamaa. Kiukweli nataka MABADILIKO.
 
dawa ya chadema imeshaiva kesho tunawanywesha penda wasipende.

428717_10150566796663967_708568966_9065230_623097448_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom