Tathimini: Naibu Spika anayumbishwa na Bunge, awe mtulivu

mpotezeeni ni wajinga wachache wanaotumika kuharibu post jf ambazo hawataki zijadiliwe
nikupe taarifa tu sijatumwa na mtu yeyote yule....ninatamani Watanzania wote mngekuwa kama mimi taifa mbele vyama tupa hukoo sasa hapa mara leo Zitto adui mara kesho Tulia kafanyeje acheni hizooo
 
Toka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.

Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.

Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.
Hulka yake ndivyo ilivyo hataweza kubadilika na kule kutengenezewa mazingira ya kupata hicho kiti kumemfanya avimbe kichwa kama cobra
 
naibu na mwenyekiti wote wameonesha mapungufu. ndugai jana hekima ilitawala sana katika kufanya maamuzi lakini haikuwapendezesha wa chama chake.
 
Jina zuri lakini hakajui kulitumia! This is a liability to Nyakyusa people! Tulia! Tulia ufanye kazi mpenzi!
 
Firstly am sorry I didn't know that you are woman and secondly,Can you prove that C&P? then After all my comment has nothing to do with you...can't you see others are still commenting on the central theme of the thread ..just leave me alone and keep on discussing on relevant matter
Mkuu sikiliza, hili ni jukwaa huru la majadiliano huku tukiwa tunaheshimiana hata km hatujuani.

Tujadiliane tu na kama ulilielewa swali langu lilikuwa rahisi sana na laiti kama ungejibu kama nilivyouliza, tungeendelea pasipo matatizo yoyote.

Well. labda nirudie kukuuliza tena kwa lugha yetu ya kiswahili maana inawezekana kiingereza chetu ni kile cha kukaririshwa.

Ulikuwa wa kwanza ku comment original thread ya Kibo10 kwa kiingereza.

Nikakusoma,binafsi sikuona uhusiano ulichokiandika kwa lugha ya wenyewe na mada iliyokuwa mezani.

Nikakuuliza kiungwana tu, kwamba, ni nini uhusiano wa ulichokiandika na mada ya Naibu Spika, Dr Tulia Ackson?.....

Kiukweli nilitaka unieleweshe tu ili tuwe pamoja kwa sbb inawezekana miye ndiye mwenye tatizo, sikukuelewa wewe.

Lakini bahati mbaya sana badala ya kutumia ustaarabu kunijibu, ukanirushia maneno ya ajabu unaniita "crying boy" utafikiri unanijua!!

Kilichoniijia haraka kichwani mwangu kuhusu wewe baada ya majibu yako ni kuwa, aidha uko hapa kutuonesha wanajukwaa kuwa "u - mahiri sana" ktk lugha ya malkia au hujamwelewa mleta mada na mada yenyewe!!

Hapo ndipo tatizo lilipoanzia. Na ukiwa muungwana unaweza kukubaliana na hiki nilichokifafanua hapa, else sioni sbb ya mimi na wewe kuendelea na malumbano haya yasiyo na tija na badala yake, unaonaje turudi kwenye mada?
.
 
Duniani hukoooo....spika au naibu ni watu wenye uzoefu wa mikiki na uendeshaji wa shughuli na siasa za bunge....huwezi kutoa mtu kutoka kusikojulikana na kumpa uspika/unaibu spika....

Hapa ccm wamechemka....With time some brains will realise that.....
 
naukumbuka ule wimbo wa wanawake wanaweza weza wanaweza eee .............huwezi kumpa mtu appointment ngumu kwa kuangalia jinsia ......mzigo mgumu mpe mnyamwezi.....kazi ngumu mpe mwanaume
 
I feel so honored to be the first comment. All of my hard work and dedication has paid off. Getting the top comment has been a dream of mine for many years, and i would like to thank those who have helped me along the way. First and foremost i would like to thank God for giving me this opportunity. Next i would like to thank my parents. I want to thank my friends Godson, Mathew , and my best friend Tito for being really skinny and always there for me. I would also like to thank my pet SPIDER for surviving against all odds for over a week. Next i would like to thank the squirrel that lives in my backyard for climbing trees because that gives me inspiration that i need to get through the day. This is a special moment in my life and i would like to thank any of my unmentioned friends and family that have helped me along the way. This moment will be a moment that i will never forget. I just remembered a few other people i would like to thank; Jamiiforums, the fish i caught in the third grade, my light in my room bc i wouldn’t be able to see the keyboard without it, the internet for letting me go on Jamiiforums, my house because without it i would be homeless, and last but not least i would like to thank all the people out there that actually took time out of their day to read this. I cannot stress how much of a big deal to me this is. I have been trying to be the first comment on a post for years, but that has not been possible until this amazing day. Hopefully my good luck will continue, but this is undoubtedly a rare occasion. If you asked me how i did this, i would say, you can achieve anything u set your mind on. To all the people out there reading this, i would like to tell them to follow their dreams. Being the top comment is amazing, thank you everyone
Inaelekea hako kaspeech kako ulishakiandaa. Uka copy na ku paste. Hongera! So what's your take on the topic?
 
NIkumuombea tu asije akajifanya yeye ndo kajua sn sheria atachengana na wakati wa sasa
 
I feel so honored to be the first comment. All of my hard work and dedication has paid off. Getting the top comment has been a dream of mine for many years, and i would like to thank those who have helped me along the way. First and foremost i would like to thank God for giving me this opportunity. Next i would like to thank my parents. I want to thank my friends Godson, Mathew , and my best friend Tito for being really skinny and always there for me. I would also like to thank my pet SPIDER for surviving against all odds for over a week. Next i would like to thank the squirrel that lives in my backyard for climbing trees because that gives me inspiration that i need to get through the day. This is a special moment in my life and i would like to thank any of my unmentioned friends and family that have helped me along the way. This moment will be a moment that i will never forget. I just remembered a few other people i would like to thank; Jamiiforums, the fish i caught in the third grade, my light in my room bc i wouldn’t be able to see the keyboard without it, the internet for letting me go on Jamiiforums, my house because without it i would be homeless, and last but not least i would like to thank all the people out there that actually took time out of their day to read this. I cannot stress how much of a big deal to me this is. I have been trying to be the first comment on a post for years, but that has not been possible until this amazing day. Hopefully my good luck will continue, but this is undoubtedly a rare occasion. If you asked me how i did this, i would say, you can achieve anything u set your mind on. To all the people out there reading this, i would like to tell them to follow their dreams. Being the top comment is amazing, thank you everyone
sentensi ya kwanza unasemaje? Are You the first comment?? Hongera...japo unakiinglishi cha kujikakamua sana! Kama unashusha kitu shimoni.
Tulia atatulia tu,hilibunge nivigumu kulipeleka kijuajijuaji.atasoma shughuli inavotakiwa.
 
Huyu dada sijui chama chake kulikuwa kinababaika Na nini Kwake.Wanachama wengi Na viongozi wa chama chake walizani being a PhD holder justify knowing everything,sasa wameproof failure.Ile nafasi ni ya Zungu au Sakaya.Na bado she will humiliate herself Na pia bunge le2 kwakudhani kila ki2 kinafanywa kama kilivyoandikwa kwenye papers
YES.....
kwake yeye atateswa na intellectual arrogance akiamini being a phd holder wa sheria anajua kila kitu na yuko right always..so anakua too defensive!

Tatizo lingine ni kuwa wame-mjaza profiles za prominent figures kichwani so its like kabla hujamaliza kuongea wewe..TL say..anakua amejiandaa reaction..so mostly ana ku pre judge!..

upande wa wabunge wengine wanajistukia mapema ..mfano juz kati kuna mmoja alisema"tena eti huyo ni phd holder wa sheria"..ni kauli za vijembe...na kuonyesha kuogopana!

cha msingi: Elimu yake akiitumia vizuri itamsaidia kuongoza bunge na kuisaidia nchi ...asijistukie wala kujidefend too much.Na wabunge msijihami sana!
 
Back
Top Bottom