Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Huyu ni wa kumsemelea kwa Kiranga tu.How exactly this is related to the topic above about Deputy Speaker, Dr Tulia Ackson?
Huyu ni wa kumsemelea kwa Kiranga tu.How exactly this is related to the topic above about Deputy Speaker, Dr Tulia Ackson?
Firstly am sorry I didn't know that you are woman and secondly,Can you prove that C&P? then After all my comment has nothing to do with you...can't you see others are still commenting on the central theme of the thread ..just leave me alone and keep on discussing on relevant matterHey, what's wrong with you?.....I don't see any relevance. That's why I asked you!
After all, don't call me a boy, I am a woman of dignity. I just wanted to know how far that you copied n pasted from somewhere is related to the topic!
Instead of explaining, you launched a useless self defense!
NDIO Maana Tulisema Tokea Awali, Nafasi Zile Za Kuongoza Vikao Vya Bunge, Vinahitaji WATU Ambao Ni Wazoefu Na BUNGE Lenyewe!!! Mle Mjengoni Kuna WABUNGE WENYE Vigezo Hivyo Vya Kuvivaa VIATU Hivyo Bila Kubana Wala Kupwaya!!! ILA Kwa Vile Ni Mpango Mkakati MAALUM Wa Muhimili Wa SERIKALI Kuudhibiti Ule Wa BUNGE, Kwa Maslahi Yao Kisiasa! KWA Kumpandikiza MTU Wake Ndani Ya BUNGE Hilo! Kumbukeni Huyo Dk TULIA Ametolewa Ktk Nafasi Ya Naibu Mwanasheria Mkuu Wa SERIKALI, Siku Chache Tu Baada Ya KUAPISHWA Kwa MAGUFULI Na KUTEULIWA Kuwa Mbunge Wa 1!!! SWALI Je Alikuwa MWANACHAMA Wa CCM Kwa Kipindi Gani!!!!??? Ni PANDIKIZI LA SERIKALI TU!!!Toka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.
Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.
Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.
Ndio mana wameamua kuokoa jahazi kwa kuondoa LIVE.Toka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.
Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.
Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.
Mulokozi jr nshomile kiingereza cha nini changia kwa kiswahili maana mada ni ya kiswahili
Teh teh hawajamaaa sijui kama watakuja kubadilika naona kama kimekuwa Kilema chaoHow exactly this is related to the topic above about Deputy Speaker, Dr Tulia Ackson?
Mkuu nimejaribu kutafta ile thread ya "Ubobezi wa sheria" kama ukiipata naomba unitagTulidadisi 'ubobezi' wake katika sheria, tukaonekana kuwa tuna wivu. Huo ni mwanzo tu.
Kwakweli kimeshakuwa kilema chao hawa jamaaaTeh teh hawajamaaa sijui kama watakuja kubadilika naona kama kimekuwa Kilema chao
waendesha bunge wazuri kama kina zungu huwa ndani ya chama hawakubaliki kabisaToka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.
Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.
Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.
Both of you shut the f...ck up! Lets focus on the original topic and not this crappy shit!Firstly am sorry I didn't know that you are woman and secondly,Can you prove that C&P? then After all my comment has nothing to do with you...can't you see others are still commenting on the central theme of the thread ..just leave me alone and keep on discussing on relevant matter
You sound like female CCM member of parliament giving her maiden speechI feel so honored to be the first comment. All of my hard work and dedication has paid off. Getting the top comment has been a dream of mine for many years, and i would like to thank those who have helped me along the way. First and foremost i would like to thank God for giving me this opportunity. Next i would like to thank my parents. I want to thank my friends Godson, Mathew , and my best friend Tito for being really skinny and always there for me. I would also like to thank my pet SPIDER for surviving against all odds for over a week. Next i would like to thank the squirrel that lives in my backyard for climbing trees because that gives me inspiration that i need to get through the day. This is a special moment in my life and i would like to thank any of my unmentioned friends and family that have helped me along the way. This moment will be a moment that i will never forget. I just remembered a few other people i would like to thank; Jamiiforums, the fish i caught in the third grade, my light in my room bc i wouldn’t be able to see the keyboard without it, the internet for letting me go on Jamiiforums, my house because without it i would be homeless, and last but not least i would like to thank all the people out there that actually took time out of their day to read this. I cannot stress how much of a big deal to me this is. I have been trying to be the first comment on a post for years, but that has not been possible until this amazing day. Hopefully my good luck will continue, but this is undoubtedly a rare occasion. If you asked me how i did this, i would say, you can achieve anything u set your mind on. To all the people out there reading this, i would like to tell them to follow their dreams. Being the top comment is amazing, thank you everyone
Wewe Tulia anaathiri vipi shughuli zako za kila siku Mkuu? Hebu achaneni na siasa za siasa tujege nchi yetu kwa umoja kila siku kazi watu ni kulalamika tuYou sound like female CCM member of parliament giving her maiden speech
Full of irrelevances'
hiyo ndiyo kazi aliyotumwa kuifanya na fisi wa CCM.
bora mkuu umesema wewe umesikika mkuuMulokozi jr nshomile kiingereza cha nini changia kwa kiswahili maana mada ni ya kiswahili
ajifunze kwa mwenzake mzee wa vijisenti aite polisi ndani ya bunge ,Toka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.
Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.
Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.
Jamani ndiye naibu spika wetu; hicho ni kipimo cha ukomavu wetu wa kukiamini chama tawala. Kama Tulia si mtulivu sisi tutulie tumeyataka wenyewe