Tarime: Mahusiano na mapenzi - Usioyajua.......

kama wewe ulivyosema hujui philisophy ya mapenzi nami nitasema sijui kwa nini Tandika kuna vibaka wengi ama kwa nini watu hawapendi watoto wao wacheze mitaa fulani kwa hoja kuwa wataharibiwa tabia.Ukiishi mahali fulani kwa muda utaathiriwa na tabia au mwenendo fulani na hiyo ni positevely or negatively kama ambavyo wasukuma husifiwa kwa upole wao.

Moyo na fikra ni kama CD amabyo haijajaa nyimbo kila wakati hurekodi nyimbo mbaya au nzuri kutokana na unachokipenda.

Ni kweli inawezekana ila inabidi uwe umekaa muda mrefu kama miaka 10 kwa ungangari wa wana Tarime ndio unaweza kuwa kama wewe kwani mtu akiingia Tarime au mkoa Mara huwa ana perception flani mpaka akae mwaka mzima ndi anaona tofauti kidogo ila watu wa Tarime ni wazuri kama hutoingilia anga zake mara nyingi mke wake au binti yake anaetegemea kupata ng'ombe hivi karibuni.
 
Sijajua hizi philosophy za mapenzi na maeneo au makabila zinatokea wapi. Love lies within somebody's

heart and not a tribe or a birthplace. When its not there ur tribe or birthplace cant bring it. All these

factors perform a shaping role. They cant be conclusive as u want us to believe! Maana haiwezekani

mtu na moyo wake mgumu afike Tarime halafu abadilishwa na mazingira aanze kuwa na moyo wa

kupenda!

Kama mijini inawezekana kwanini Tarime ishindikane mfano unakuta mtu kaingia mjini alikuwa si kivile sana lakini baada ya miaka miwili mitatu unakuta ana changes kama alikuwa na mtazamo flani kuhusu mapenzi unakuta amebadilika kabisa na kuwa anakuwa na zile za kimjinimjini, kwahiyo hata ukienda Tarime kuna uwezekano ila ni wachache ndio hubadilika
 
Ni wilaya ilioko kaskazini magharibi mwa nchi hii -Tarime.Kuna story nyingi kuhusu wilaya hii hasa kunapohusika suala la mapenzi/Mahusiano.

Watu wa Tarime wanajua kupenda na hiyo haijalishi mtu anaishi Tarime kama mzawa au mhamiaji.Maadam ni mwanatarime basi lazima ataakisi tabia njema za Tarimeville. Najua wengi wanachofikiri ni vipigo kwa wanawake vinavyotangazwa kwenye vyombo vya habari,lakini hilo tone la kibaba cha chumvi ndani ya bahari!

Wanaume wana character za kiume zilizokamilika - "sio too emotional" wanajua position zao kama mwanaume uliekamilika:
1.Hawalilii uhusiano unapovunjika
2.Hulinda mahusiano yao (huwezi kutia pua kwenye ndoa yake kama unapenda kuishi).
3.Wachapa kazi
4.Wana msimamo (hii inahitajika sana hasa kwa mwenzi asiyeeleweka au kicheche).
5.Wanajua timetable kunakohusika ngono (fast,energy and perfomance).
6.Huchukua maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Wanawake nao safi sana na hizi ni sehemu ya sifa zao;
1.Wavumilivu
2.Wachapa kazi
3.wanajiheshimu
4.Hawana wivu wa kijinga
5.N.k

Nenda Tarime ukajionee mwenyewe na hautojuta kumpata mwandani wako.
I miss my birth place.

Kwa nini siku hizi Landlords hapa DSM ukienda kutafta nyumba ukisema we wa Tarime wanakukataa tena huwa hawaangalii umeoa/olewa au uko single? Kwani Tarime kuna nini?
 
Kwa nini siku hizi Landlords hapa DSM ukienda kutafta nyumba ukisema we wa Tarime wanakukataa tena huwa hawaangalii umeoa/olewa au uko single? Kwani Tarime kuna nini?

Hawajiamini......kwa hiyo wanaotoka Tarime hawana mahali pa kuishi au wamejenga nyumba
 
Hawajiamini......kwa hiyo wanaotoka Tarime hawana mahali pa kuishi au wamejenga nyumba

Hilo wewe umesema mimi sijasema!Nimesema wenye nyumba wengi wanakataa kuwapangisha watu toka huo mkoa, nimeshuhudia friends wangu 6 wakikataliwa kupangishwa house kwa vile wanatoka Tarime.
 
Hilo wewe umesema mimi sijasema!Nimesema wenye nyumba wengi wanakataa kuwapangisha watu toka huo mkoa, nimeshuhudia friends wangu 6 wakikataliwa kupangishwa house kwa vile wanatoka Tarime.

Narudia kusema ni waoga.........Kama nilivyoeleza awali wengi hawajui silka za watu wa huko, wanasikia negative side tu (nyingi zimetiwa chumvi)..............Kama ambavyo wengi wanaamini watu wa Rukwa wachawi!
 
Owkay, so watu wa Tarime wako perfect, nakubali kabisa!
 
Ala kumbe ndivyo mlivyo, nilikuwa sijui, basi ngoja niende!
 
Back
Top Bottom