Tarehe ya usaili mikoani imeshatangazwa

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
habari wakuu tarehe ya usaili kwa wale watu wa mikoa ya dsm,kilimanjaro, manyara, tanga extra imeshatangazwa ingia website ya utumishi then naomba mnitajie mkoa wa kilimanjaro tunafanya lini na mahali gani kwani kisimu changu kimegoma kufungua thanx
 
Kuanzia Tarehe 25/10/2012 hadi 02/11/2012. Shida ni kwamba hawajaonyesha mahali pakufanyia usaili.
 
Back
Top Bottom