Tarehe ya mwisho kwa (viongozi) wanaotaka kujiunga na M4C

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
Ikiwa mnataka kujiunga na Vuguvugu la Mabadiliko, na ikiwa kweli mnataka mabadiliko, wakati ndio huu.

- Msisubiri mpaka huko mliko mfukuzwe ndio mjiunge na M4C
- Msisubiri mpaka mje kutemwa kwenye kura za maoni katika vyama vyenu ndio mje mjiunge na M4C.
- Msisubiri mpaka 2015 ndio mje mjiunge na M4C.

Kwa hivyo wale wote, kutoka vyama vyote vyengine, wanaotaka kujiunga na Vuguvugu la Mabadiliko, mnapewa mpaka tarehe ya mwisho, 31-12-2012. Baada ya hapo tunaweza kuwa na wasiwasi na dhamira yenu.

Na mkumbuke, mtapokuja muwe mnakuja kwa kukijenga na kukiendeleza chama, sio kufuatia utawala, sembuse uongozi.
 
sawa mkuu ila mbona iyo taarifa siyo rasmi?
Ni mawazo yangu binafsi na tahadhari hao wanaorasimisha taarifa walielewe hilo kwani hayo niliyoyataja ndiyo yanayoweza kutokea:
- kuwa watu mpaka watemwe ndio wakimbilie pengine
- wanaorukia chama hiki na kile kwa kutafuta uongozi tu.
 
Hawa wanachama wa mapinduzi watalimudu sharti hilo kweli?!
Hakuna haja ya kuweka timelimit ..maana mabadiliko ndani ya moyo wa mtu huweza kuchukua muda na inategemea na mwenendo wa siasa ndani ya chma chao..haya yote sisi hatuna udhibiti nayo.
 
Back
Top Bottom