Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

wanajamvi naommba tushare knowledge kidogo plz kwa yule anayejua ni siku gani ambazo m,ke hawezi kupata mimba wakati wa tendo la ndoa kwa kwa anayejua plz

thanks in advance

"jumapili"...

Ooooppsss, astaghafirullah....
Unaujua mzunguko wake/ wako nikupe jibu?
 
here is the drill, Ovulation hutokea siku ya 14 toka siku ulipoanza breed! so siku ya kupata mimba ni siku ya 11,12,13,14,15,16 toka ulipoaanza breed!in a very simple layman language, siku zingine bebenaga bushike if you avoid these days ur safe
 
...tena ajue a single spermatozoa from countless ejaculated ndio pekee inayoweza tungisha mimba,
mbaya zaidi, "ikikuamulia" inaweza survive ukeni hata 24hrs baada ya "kutapikwa"....
njia sahihi ni contraceptives tu incl condom...
 
kwanini musitumie condom jamani
any way wanatofautiana kwani wale wanaozunguka 28days wanapata 14 so wewe unatakiwa usikutane naye kimwili kuanzia tar 12 mpaka 16 hapo inategemea na mbegu zako mana zikiwa dhaifu unaweza hata siku yenyewe ukafanya na asipate pia
na wale wanazunguka 32 unatumia 16 so utaacha kuanzia tar 14 mpaka 18
na kwa wale ambao hazitabiriki ni anaanza kuhesabu kuanzia siku alobleed hadi ya 14.ataacha cku 2 nyuma na 2 mbele yake...............
na kama hajui kabisa basi wewe ndio muangalie mana siku iyo k itakua ya moto sana kupita kiasi kama tanuru na maji maji yale yatakua mazito na yananata sana na hata kama ilikua panaje siku iyo itakua imejibana kidogo na itakua mnato zaidi ya manatona atakua na stimu za kufa raia......(wote mutanogewa sana siku iyo)

Mkuu hapo kwenye condom unadhani kumumunya pipi na ganda lake itanoga kama ukiondoa ganda kweli?
 
nitajibu kwa kukuambia lini anaweza kupata mimba na automatically utajua lini hawezi pata:

Chukulia mzunguko wa mwezi wa mweznio ni siku 30, na tuseme mke wako anaanza kupata siku zake tarehe 1 ya kila mwezi. Kuanzia siku ya 12 hadi ya 18 si siku nzuri kukutana maana kuna uwezekana wa kushika mimba. Ila kati ya hizi mbaya 7, siku mbaya zaidi ni siku ya 14 na 15 hapa usijaribu kabisa, nyingine zinazoongezeka ni za tahadhari (yaani siku tano zilizobaki kati ya tarehe 12-17). Ukiachilia na hapo siku nyingine zoote mambo ni poa.

siku hizi wadada wamebuni mbinu nyingine za kuzuia mimba pia ila sijui kama imefanya kazi kwa wote, ila mimi nimejaribu na mamsupu mara kadhaa na imefanikiwa, kama kwa bahati mbaya mmekutana hiyo siku ya 14 an 15 (NB: kwa mzunguko tajwa hapo juu) basi wanameza vidonge vya majira 2 kwa siku kwa mda wa siku tatu tangu siku mbaya mliyokutana , hii njia inafanya kazi pia ila si nzuri maana vidonge vile wakati mwingine si vizuri.
 
kwanini musitumie condom jamani
any way wanatofautiana kwani wale wanaozunguka 28days wanapata 14 so wewe unatakiwa usikutane naye kimwili kuanzia tar 12 mpaka 16 hapo inategemea na mbegu zako mana zikiwa dhaifu unaweza hata siku yenyewe ukafanya na asipate pia
na wale wanazunguka 32 unatumia 16 so utaacha kuanzia tar 14 mpaka 18
na kwa wale ambao hazitabiriki ni anaanza kuhesabu kuanzia siku alobleed hadi ya 14.ataacha cku 2 nyuma na 2 mbele yake...............
na kama hajui kabisa basi wewe ndio muangalie mana siku iyo k itakua ya moto sana kupita kiasi kama tanuru na maji maji yale yatakua mazito na yananata sana na hata kama ilikua panaje siku iyo itakua imejibana kidogo na itakua mnato zaidi ya manatona atakua na stimu za kufa raia......(wote mutanogewa sana siku iyo)

he he he he he kutengeneza mtoto raha
 
jaribu kuingia google the search for WEB MD kuna topic nyingi sana then utaona moja kati ya hizo ni pregnancy the ukifungua utapata everything kuhusu pregnancy kuanzia ovulation hadi child birth, hapo kwenye ovulation wana ovulation calculator, unatakiwa kujua tarehe ya kuingia kwenye mzunguko for atleast three months starting with the most recent one
 
ebwana wee...hapa la msingi ni kujua kuwa mimba yoyote anayelaumiwa ni mwanamke....maana yeye ndio determining factor kama demu hataki mimba basi wewe ata utwangwe namna gani kwenye kinu cha utamu upati kitu ng'oooo
so wewe mwambie tuu bana mie sitaki mtoto so take precautions and i also take precautions.
 
Simple way kwa mwenye cycle ya siku 28,anza kuhesabu tangu siku anayooanza kubleed hadi siku ya 14 then toa siku 5 na ongeza siku tano mbele yaani ukitoa 14,13,12........ hadi siku tano then ongeza siku 5 mbele 15,16,17......hadi siku 5 zifike,so kuanzania siku ya 5 uliyotoa na siku 5.
Mfano:
ameanza kubleed tarehe 15 ukitoa siku 5 itakua tarehe 10 hadi 15,then ukijumlisha siku 5 mbele ni 16 hadi 20,hivyo kuanzia tarehe 10 hadi 20 ni danger days.kwa mwenye siku 32 huyu badala ya kuhesabu siku 14 ukianzia siku aliyoanza kubleed inabidi uhesabu siku 18 then toa siku 5 na ongeza siku 5 ukifika siku ya 18.
Angalizo
siku za kubleed zinabadilika sana kutokana na mazingira hivyo mahesabu pia nayo yanaweza badilika unaweza mwezi huu ukawa mfupi yaani siku 28 then mwezi mwingine unakua mrefu zaidi ya siku 30 hivyo ukitaka kujua exactly mzunguko wako inabidi kila mwezi unapobleed weka alama kwenye kalenda ili mwezi unaofuata ukibleed uweze kuangalia
Mfano
mwezi wa 2 umebleed tarehe 5 then mwezi wa 3 ukableed tarehe 10,jumlisha siku toka 5 hadi 10 ni siku ngapi?then mwezi wa 4 ukableed tarehe 4,chukua tarehe ya mwezi wa nyuma yaani mwezi wa 3 tarehe 10,HII INAKUSAIDIA TU KUJUA KAMA MZUNGUKO WAKO NI MREFU AU MFUPI.
Hitimisho
Method ya kalenda ni nzuri kama utaweza kucheza vizuri na siku za kubleed but be carefully one mistake itakucost
Zipo software ambazo unaweka siku uliyoanza kubleed then inacalculate yenyewe na kukupa majibu km uko interest just nicheki then ntafanya mpango
 
Guyz.
Mi huwa sielewi miezi halali ambayo mama mjamzito anaishi na mimba.
Hivi huwa anajifungua anapoanza mwezi wa tisa au baada ya kuumaliza mwezi wa tisa?
Please help me.
 
Back
Top Bottom