Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Jamani huo ndo ukweli nahitaji mtoto napenda sana kuitwa mamz ko mwenye uelewa juu ya hili...msaaada tafadhali kusu umri so tatizo.
 
jamani ni kwamba ivi nilkutana na boy wangu siku za hatari ambazo nljua kabisa ntanasa mimba lakini matokeo yake baada ya muda nmeingia bleed kama kawaida!msaada please na je ni siku gani sahii za kupata ujauzito mzunguko wangu n mfup mara siku 24 mara 26 yan ni irregular...help plzzzzzz!!!!
bado wapo, wanabebeshwa mimba na boys!
 
Nina malengo ya kuwa na mtoto na kuitwa mamma
Nadhani kuna linalokusibu tafakari hapa chini:-

Katika familia yetu nilizaliwa mtoto peke yangu na kwa mapenz ya mungu wazazi wote wawili walshatangulia mbele ya haki...na mali halizoacha marehemu baba ziko chini ya babu mzaa baba ambae ndiye alyenilea tangu baba alipofariki nikiwa na umri wa miaka mitano sasa nina miaka kumi na nane tatizo ni kwamba mali alizoacha baba nyng zlishauzwa ikwemo gar mbil na sasa imebaki nyumba tu ambayo imepangshwa cha kushangaza ni kwamba upande wa babu hawanikumbuki chochote na hata kodi inapokuja hawanip hata senti...na mbaya zaid ni kwamba wamekataa hata kunipeleka chuo kutokana na kodi inayotolewa,ambayo ingetosha kabisa kunisomesha na kunipatia matumiz madogomadogo wenyewe hawana habari na mimi na hata ukiomba hela ya matumiz hawanpatii na wanadai kod inayotolewa kwenye nyumba ni matumiz ya nyumban pia wanadai nyumba ni yao kwa sabu wenyewe ndo walomlea na kumsomesha baba,nisaidien katika hili.
jamani ni kwamba ivi nilkutana na boy wangu siku za hatari ambazo nljua kabisa ntanasa mimba lakini matokeo yake baada ya muda nmeingia bleed kama kawaida!msaada please na je ni siku gani sahii za kupata ujauzito mzunguko wangu n mfup mara siku 24 mara 26 yan ni irregular...help plzzzzzz!!!!

Habari wana jf,tatizo ni kwamba natokwa na uchafu mweupe kama maziwa mtindi usiokuwa na harufu sehemu za siri,na kila siku najisafisha vizur kwa kutumia maji safi ya kutosha naingiza hadi kidole ndani ya uke lakini bado tatzo linaendlea...hii hali inanikera kweli maana nikiwa na sex na mpenz wangu najskia vbaya kumchafua,naombeni msaada wenu jamani!

Jamani habarini...hali ya matiti kutoa majimaji kama maziwa husababishwa na nini na tiba yake ni nini??

Jamani polen na shughul za kila siku...kwa anayejua au kwa mwenye utaalamu juu ya tiba au dawa ya kuzuia na kutibu miscariage...msaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaada!!!
 
Mkuu Mr. Kiroboto,

Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st
, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa!

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!

Naomba kuuliza mkuu inakuaje kwa wale wanao ingia bleed bila mpanglio yan endapo ataifkiria san au kuona dam yoyte hat ya kuku au akiskia tu story za kuhus bleed apo apo na yeye anaingia kwa hawa watu imekaaje
 
Issue ya miscariage,kutokwa maziwa kwenye matiti na kuhusu mirathi haziniusu...kinachonihusu ni kuhusu kutokwa na uchafu uken na kuhusu kupata mtoto dats all and not others as i posted.
 
Habari wakuu:

Nisaidieni, nilifanya tendo la ndoa na mume wangu siku ya hatari ilikua tarehe 1 / 11, Je nipime baada ya muda gani kujua kama nimenasa?
 
ngoja wataalamu waje but mimi navyojua ndani ya wiki 1 mimba unaweza kucheki. tuwasubiri wataalamu
 
Je km mzazi (aliyezaa km miezi michache iliyopita) haingii kabisa mwezini.......uwezekano wa kubeba mimba ukoje??
 
Back
Top Bottom