Tarehe kama hii mwaka jana (14.8.07), Kuna mafanikio yoyote?

wewe jamaa kaa kimya yaani unachemka mpaka noma! aidha unaongea sana bila kufikiria au ni mweupe, a dingus...inaboa kukusoma!!

Mwambie Invisible anifungie na nitaacha kuongea,na kwanini unanitusi..Mie sasa naona kuna kitu ambacho invisible anikebebe,mtuambie kama siyo mtu wa CHADEMA na una mawazo mazuri usichangie.hauwezi kuniambia maneno kama haya na ukaachwa..umeni insult

Kama inaboa kwanini huwa unapoteza muda wako kusoma post zangu.Sifikiri kuacha kuandika na nitaendelea kuandika mambo yote yanayokuboa
 
Mwambie Invisible anifungie na nitaacha kuongea,na kwanini unanitusi..Mie sasa naona kuna kitu ambacho invisible anikebebe,mtuambie kama siyo mtu wa CHADEMA na una mawazo mazuri usichangie.hauwezi kuniambia maneno kama haya na ukaachwa..umeni insult

Kama inaboa kwanini huwa unapoteza muda wako kusoma post zangu.Sifikiri kuacha kuandika na nitaendelea kuandika mambo yote yanayokuboa

Pumba tupu! sina interest yeyote ya wewe kufungiwa na sijui ya Chadema wala Invisible...kwa ufupi masiasa yenu ya Simba na Yanga mie simo.

Ila kwa taarifa tu, Tanzania ni State!!

have a nice day.
 
Is it just me who can't see the "reputation" button of Mtu wa Pwani?




.
 
Pumba tupu! sina interest yeyote ya wewe kufungiwa na sijui ya Chadema wala Invisible...kwa ufupi masiasa yenu ya Simba na Yanga mie simo.

Ila kwa taarifa tu, Tanzania ni State!!

have a nice day.

Mkuu taratibu kisha angalia mipaka yako utawekwa lock up ukiteleza ulimi wako naona unako elekea siko.Heshimu mawazo ya mtu kama kakosea si umkosoe alipo kosea kuliko kumkatisha tamaa!Hili ni tatizo kubwa sana kwa waswahili kukatishana tamaa.
 
Mkuu taratibu kisha angalia mipaka yako utawekwa lock up ukiteleza ulimi wako naona unako elekea siko.Heshimu mawazo ya mtu kama kakosea si umkosoe alipo kosea kuliko kumkatisha tamaa!Hili ni tatizo kubwa sana kwa waswahili kukatishana tamaa.

siwezi kuwa nice kwa mtu kama Gembe, ambaye kajitamba hapa kuwa ana masters..halafu anashindwa kuelewa vitu vidogo, amejaa pumba na ushabiki wa ki-layman!!

hayo mengine ni shida yako na sina muda wa kupigizana kelele na wewe, ujumbe wangu kwa Gembe ushafika..roho yangu nyeupe!!

have a nice day.
 
MKJJ: that would make a superb article in a wednesday or sunday paper. Kudos. I share your analysis, especially when you say that the opposition missed a great opportunity to use the Buzwagi and other similar agenda to emerge itself "stronger, bigger and [bolder]. I may add by saying that the growth of personalities with the opposition, as a result of these events, did not match exponentially with the growth of the institutions.

Having said all that, there is a reason for all lovers of democracy, accountability and responsibility, and in particular the torch bearers, Zitto et al, to celebrate with proud the first post Buzwagi saga anniversary.
 
KAMA UNA USHAHIDI PELEKA POLISI???????


Ndugu PM.....

Huyo Mwalimu hapo juu wakusudia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.......?QUOTE]

..hapana sokoine hakuuliwa na nyerere...kifo cha sokoine unaweza kukiita it was like internal power struggle...au inaweza kuwa stand yake kwenye vita dhidi ya uhujumu wa uchumi.....ambayo aliwataka viongozi kuongoza kwa mfano...alitaka vita dhidi ya wahujumu wa uchumi ianzie juu kwa watu kama cleopa msuya..kawawa and the like...kama ni kukagua alitaka waaze kupekuliwa hao....na marafiki zao..so mwalimu really was out of it....tatizo ni vigogo waliokuwa chini ya mwalimu waliona sokoine anakuwa mkali...na wakajaribu kufikiria itakuwaje ..kama atakuwa rais...kwani mwalimu alitegemea kumwachia madaraka .....

........vita ya kugombea kuwa namba mbili ..pia tunakumbuka enzi ya kambona ..alivyochonganishwa na mwalimu..pale kawawa alipokuwa akihisi kuwa ....wanagombea nafasi ya pili kutoka kwa mwalimu...kwa kuaminiwa...hasa ..kambona alipoenda mbele zaidi ya kuaminiwa alipozima maasi...watu kama kawawa ..walimwambia mwalimu kuwa kambona ndiye aliyeandaa maasi....

.....so watuhumiwa wakuu wa kifo cha sokoine wapo...tena wapo hai...lakini mwalimu hakuwa mmoja wao!!!
 
Kwangu kilichobadilika ni kiwango cha uchungu nilio nao.

Tarehe 14/8/07 ilitia uchungu kujua kuwa Tanzania iko hapa ilipo kwa sababau ya uongozi mbaya. Ilitia uchungu kujua kwamba wengi wa viongozi wetu ni walafi na wezi wa kupindukia. Ilitia uchungu kung'amua kuwa wabunge wetu wengi wanatetea maslahi yao binafsi kuliko ya taifa. Ilitia uchungu kutambua tunaongozwa na chama kilichojaa manyang'au ambao hawana uchungu na rasilimali za Tanzania. Ilitia uchungu kuona hatujapiga hatua yoyote ya maana kujikwamua kwenye lindi la umasikini.

Tarehe 14/8/08 uchungu umeongezeka maradufu baada ya kuwajua MAFISADI kwa majina na nyadhifa. Uchungu umeongezeka kwa kutambua taasisi zetu za haki na sheria zimetekwa na MAFISADI. uchungu umeongezeka baada ya kutambua baadhi ya vyombo vya habari vimeamua kushiriki katika kutetea na kulinda hadhi za MAFISADI. Uchungu umeongezeka tunapowaona vigogo wahalifu wanatanua mitaani huku wanyonge wakiozea Segerea kwa makosa ya kuiba mkate wa kula. Lakini la kufunga mwaka ni ukweli kuwa mkuu wa Kaya naye ama yumo au katekwa na hao MAFISADI.

Mheshimiwa Zitto, katika kipindi hicho tumeruka maji tukakanyaga moto au kwa maneno mengine tumeruka .... tukakanyaga ..... uvumilivu na subira japo kidogo tuliyokuwa nayo ndio hivyo - tunachungulia tu ikiyoyoma.
WITO - Boti inazama na muda wa maneno haupo tena, sasa ni vitendo mtindo moja. Time is ripe for a revolution - mapinduzi, period kwani sasa hatuna tena tumaini wala kiongozi. Count me IN.
 
Zitto;

Mie naona ni hatua kubwa imekwenda; hata Roma haikujengwa kwa siku moja; uzuri hamjanunulika kama watu walivyodhani; uzuri mshikamano umekuwepo; uzuri watu sasa wako huru; uzuri hata jambo/ sasa jamii ni ukumbi mpana hadi kwa viongozi wanaoguswa; uzuri yote haya ni matunda ya wapinzani wachache sana;
Naombea sana hima kusonga mbele; heshima bora kuliko fedheha/au fedha;Taifa ni changa lakini nafasi ipo; ni vema mafisadi sasa waendelee kuanikwa hadharani; Dk Slaa moto wako uendelee; Mbowe/Lipumba/Mbatia/Mrema kama makocha msichoke; vimafanikio hivi ni kwa sababu ya kazi kidogo iliyofanyika mwaka jana; naona mnataka kugombea ufito; i takuwa aibu hasa kwa waliokwisha jitoa mhanga; siku moja Mungu atasikia kilio cha walio nyikani;Zitto kapige kazi bila kuchoka tukko nyuma yako
 
Back
Top Bottom