Tapeli tapeli

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,239
113,612
Unajifanya wa maana sana kwenye mabandiko yako wakati ukweli wa mambo wewe ni tapeli tapeli.

Hiyo tabia ni mbaya sana kwa sababu mwisho wa utapeli ni aibu.

Watu wanakusaidia kwa nia njema kabisa kumbe wewe moyoni unawaona hawana maana. Unajiliza liza una shida, unaomba msaada. Msaada unapewa, baadaye unajifanya mjanja na kuingia mitini na mali za watu.

Hivi mama yako hakukupa mafundisho ya maadili mema wewe? Sasa limebumbuluka na utakiona cha mtema kuni.
 
hawezi filisi bahari
dawa ya deni kulipa, vinginevyo ni kujiharibia tu.

Na dawa ya kuazima ni kurudisha.

Umekuja kwangu kuazima lawn mower, ukimaliza kukata majani yako lirudishe. Unabaki nalo kwani lako? Mijitu mingine bana.
 
Mjini shule...
Fake.jpg
 
Kelele zote hizi usikute ni vidola tu.
Kumbe mnakamulika eheheee!! ngoja nifunguwe ID yangu ya kike na Avatar ya makalio ya haja mtanasa tu,
 
Back
Top Bottom