ha...! usiombe yakukute....
hivi umeasi JF siku hizi.....?
Shemeji amenikataza kuingia sana eti nasahau majukumu mengine
Halafu baada ya miaka ishiriniKhaaaaa! Umenikumbusha sekandare skuli. Form one akithubutu kumkopesha form foo, basi asisubutu kuja kudai...
pole.....shemeji yako yeye anataka nimsomee yaliyomo JF nimuadisie.....wangu na wako wapo tofauti kweli.....
haya mambo nimezoea kuyaona facebook,sasa huku tena eboo!!napita tu
Mbona nimeambiwa wewe ndo umefanya utapeli mpaka kijana wa watu kaingia mitini?
Unajifanya wa maana sana kwenye mabandiko yako wakati ukweli wa mambo wewe ni tapeli tapeli.
Hiyo tabia ni mbaya sana kwa sababu mwisho wa utapeli ni aibu.
Watu wanakusaidia kwa nia njema kabisa kumbe wewe moyoni unawaona hawana maana. Unajiliza liza una shida, unaomba msaada. Msaada unapewa, baadaye unajifanya mjanja na kuingia mitini na mali za watu.
Hivi mama yako hakukupa mafundisho ya maadili mema wewe? Sasa limebumbuluka na utakiona cha mtema kuni.
weee....hivi kweli jinsi unanifahamu....naweza kufanya utapeli....? hebu sema ukweli......
wala usijidanganye!unaweza vipi kumuamini mtu anayetumia fake ID na avatar ambayo sio yake sawa na mtu unayemfahamu physically mtaani kwenu??
Sasa kwanini msitumie njia ile ile ya kuwasiliana wakati mnaazimana hizo 'fyekeo za majani'.
Au ndio mafumbo?
Aisee. Nimekoma kutapeli.
Nadhani wewe ndo wajidanganya. Kutumia fake id si kigezo cha kutokuwa mwaminifu bali ni mtu analinda privacy yake, na pia kumfahamu mtu physically haina uhusiano na uaminifu kabisa; nakupa mfano wa kweli- 2009 kupitia mtandao niliwasiliana na mtu wa zambia ( sikuwa nimemuona na hata sasa sijaonana nae) akanisaidia kunipa information fulani pamoja na kunilink na watu fulani ambao wamenisaidia sana katika kazi zangu na nimeweza hata kusafiri nje kupitia huyu mtu ambaye mpaka leo sijaonana nae. Hivyo uaminifu ni tabia ya mtu, kuonana physically si guarantee ya uaminifu
pole sana nani huyo tumsemee kwa babaUnajifanya wa maana sana kwenye mabandiko yako wakati ukweli wa mambo wewe ni tapeli tapeli.
Hiyo tabia ni mbaya sana kwa sababu mwisho wa utapeli ni aibu.
Watu wanakusaidia kwa nia njema kabisa kumbe wewe moyoni unawaona hawana maana. Unajiliza liza una shida, unaomba msaada. Msaada unapewa, baadaye unajifanya mjanja na kuingia mitini na mali za watu.
Hivi mama yako hakukupa mafundisho ya maadili mema wewe? Sasa limebumbuluka na utakiona cha mtema kuni.
unajifanya wa maana sana kwenye mabandiko yako wakati ukweli wa mambo wewe ni tapeli tapeli.