Tanzia

Kifimbo Cheza

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
248
112
Mkurugenzi kiwanda cha kuchambulia pamba cha s&c cha bunda bw. Donald gachuma muluga, amefariki dunia jana asubuhi huko bunda. Tumwombe mungu ampumzishe kwa amani kwenye makao yake ya milele. Ameni.
 
Mkurugenzi kiwanda cha kuchambulia pamba cha s&c cha bunda bw. Donald gachuma muluga, amefariki dunia jana asubuhi huko bunda. Tumwombe mungu ampumzishe kwa amani kwenye makao yake ya milele. Ameni.
Apumzike kwa amani. Tunaomba anaejua sababua za kifo chake aandike hapa. Pole kwa wafiwa.
 
Pole kwa wafiwa,ila ni ngumu kumuombea kwa Mungu ampumzishe, maana wanadamu
tunatakiwa kujiombea wenyewe tukiwa bado hai,mtu akifa ukurasa umefungwa.tusingojee
kuwa tukifa ndugu na jamaa watatuombea,tutakuwa tumechelewa.
 
Kifimbo Ulipotela wapi? Nakumbuka ulivyokuwa unawachapa watu humu JF, ikiwa bado Jambo Forum, alafu mbona siku hizi hatukuoni kijiweni kwenye ulingo wa CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI, CDM wakijua umerejea watakimbia. Kila la heri!
 
Back
Top Bottom