TANZIA: Waziri Membe amefiwa na kaka yake mkubwa

Gentamycine hauko sawa kifikra.Mh.Membe anashiriki kikamilifu kwenye hizi kampeni.Ila kaa ukijua kuwa pia majukumu ya uwaziri yanambana ila pia pamoja na kuwa alimuuguza kaka yake ambaye leo hii katutoka pia anamuuguza mwanaye wa mwisho na mdogo wake wa mwisho.Huu wakati anahitaji faraja yetu na sio malalamiko yasiyo na mashiko.
 
Poleni sie na mgojwa mwezetu Lowassa tunakamua kilometa tu siku hadi siku hadi mtambue uwepo wa mungu.
 
Mimi Pole Yangu Nitaitoa Pale Tu Nitakapomuona Akiungana Na TEAM MAGUFULI Kuhangaika Kumtafutia Urais Kwani KIUKWELI Haonyeshi USHIRIKIANO ALIOTAKIWA Kuuonyesha Kwa Wana CCM Na Hili Lipo Wazi Hata Kwa Wana CCM Wote. Inaonekana Bado Ana KINYONGO Cha Kukosa KUTEULIWA Kuwa Flag Bearer Kwani ALIJIPANGA And He Was Very Optimistic. Anyway Mtanisaidia Kumpa Pole Zangu Japo Ni Za Shingo Upande. TULIMTEGEMEA MNO Huyu Kada Lakini Ni Kama AMETUSALITI Hivi. Binafsi KANISONONESHA Sana Na MTANISAMEHE Kama Post Yangu Hii ITAWAKWAZA Ila Nimeona NIFUNGUKIE Hapa Hapa Ujumbe UFIKE Na UMFIKIE. Mazishi Mema.

Kumbe ukituliza kichwa huwa unaongea ya maana
 
Mungu anabaki kuwa Mungu hakuna zaidi ya Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Poleni wafiwa.
 
Mimi Pole Yangu Nitaitoa Pale Tu Nitakapomuona Akiungana Na TEAM MAGUFULI Kuhangaika Kumtafutia Urais Kwani KIUKWELI Haonyeshi USHIRIKIANO ALIOTAKIWA Kuuonyesha Kwa Wana CCM Na Hili Lipo Wazi Hata Kwa Wana CCM Wote. Inaonekana Bado Ana KINYONGO Cha Kukosa KUTEULIWA Kuwa Flag Bearer Kwani ALIJIPANGA And He Was Very Optimistic. Anyway Mtanisaidia Kumpa Pole Zangu Japo Ni Za Shingo Upande. TULIMTEGEMEA MNO Huyu Kada Lakini Ni Kama AMETUSALITI Hivi. Binafsi KANISONONESHA Sana Na MTANISAMEHE Kama Post Yangu Hii ITAWAKWAZA Ila Nimeona NIFUNGUKIE Hapa Hapa Ujumbe UFIKE Na UMFIKIE. Mazishi Mema.

Sawa gamba tumekusikia.
 
RIP ndugu...hiyo ndio ya wote! Mwambie mwalimu machekibobu wake wamepokezana urais. Katoka jamaa kamwachia Laigwanan low as a

Mwambie Celina na komba waliowatusi bado wako sawia!

Mwambie mama Tabu mwanae siasa imemwelemea.

Mwambie Karume kuwa Zanzibar wako na maalim,

Mwambie Bob Marley ujumbe wako afande SELE kautupa, amekuwa mpinga haki!

Mwambie kanumba ray siku izi gemu imemgeuka, kaanza push ups!

Mwambie prof wa tume ya katiba mpya, yule wa nccr kuwa warioba kageuka anakula na mccm waliokataa katiba iliyokugharimu maisha!!

R.I.P
 
Huwa cpendi kushabikia vifo hata kama aliyekufa ni adui yangu. Lkn naamini kura imepungua kwa mafic m. Mungu amuweke palipo endana na matendo yake. Ameen.
 
Back
Top Bottom