Fyengeresya
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 750
- 338
Hakuna faraja kwa magamba mpaka yang'oke ndo yatapewa!Gentamycine hauko sawa kifikra.Mh.Membe anashiriki kikamilifu kwenye hizi kampeni.Ila kaa ukijua kuwa pia majukumu ya uwaziri yanambana ila pia pamoja na kuwa alimuuguza kaka yake ambaye leo hii katutoka pia anamuuguza mwanaye wa mwisho na mdogo wake wa mwisho.Huu wakati anahitaji faraja yetu na sio malalamiko yasiyo na mashiko.