Padri anaetambulika kwa jina la PETER MINJA amefariki dunia jana kwa matatizo ya presha ya mda mrefu na kupelekea damu kuganda katika mzunguko wake wa ubongo. imeelezwa kua hakuna uhusiano wowote wa tukio la juzi la risasi na kifo cha Padre Peter Minja.
Ibaada ya mazishi itafanyika kesho katika kanisa la parokia ya Mpendae saa nne asubuhi na kuzikwa Kitope.
Bana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. AMEN
Ibaada ya mazishi itafanyika kesho katika kanisa la parokia ya Mpendae saa nne asubuhi na kuzikwa Kitope.
Bana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. AMEN